Msaada katika ndoa: Mwaka wa tatu kwenye ndoa sijapata ujauzito

usikate tamaa mtoto ni majaliwa alafu mungu alivyo wa ajabu akianza atawashusha balaa
Kabisa maana me Na Mama angu Mdogo miaka 15 kwenye ndoa ana mtoto Wala mimba mwaka Huuu si akapata bwana yaani mwezi wakumi tungekuwa twachinja ngombe Ila baati mbaya mimba ya miezi6 ikatoka kumbe alikuwa Na mapacha 4 yaani wakiume 3 wakike 1 ila tumemshukuru mungu Na kumuomba ampe tena Na twaamini mwakani muda Kama huu tutaimba nyimbo za sifa Na vitoto mikononi
 
Usikate tamaa muombe mungu achelewi Wala awai atakujibu tu mamy usione ndoa chungu kuna majukumu mengi tu ndani ya ndoa out Na mtoto yafanye kwa ukamilifu uku ukimwomba mungu hitaji la moyo wako.
Asante mkuu ubarikiwe sana
 
Amina mkuu naamin muujiza wangu upo ni kusubiri muda tu na wakati.
 
Habari wakuu, natumaini mpo poa. mimi nimeolewa huu mwaka wa 3 ila sijabahatika kupata mimba na siku zangu huwa nazipata vizuri na hata siku za hatari nakutana na Mr. ila sijafanikwa.
Naomba mnisaidie au sijui kuhesabu siku zangu vizuri.

Nendeni wote Hospital, kuna jamaa yangu alikaa 9 years bila mtoto anajiona kidume, nikamshauri twende naye na mimi nitapima maana alikuwa Anaona Aibu akakutwa na shida. Alipewa dawa ya 15,000 na sasa ana watoto 4
 
Pole Sana bibie ,Mungu akujalie watoto na asikie kilio chako [emoji129][emoji129][emoji130]
 
1.Muombe Mungu
2.kula vizuri,pumziken vya kutosha na mzuie jamaa wako kwa siku kadhaa ili wingi wa .....wepo.
3.kunyweni maji mengi kwa siku ili kuondoa sumu na damu isafiri vizuri mwilini
3.Tumieni vyakula vyenye madini joto kwa wingi.
4.Mazoezi ya kawaida fanyeni.
5.Furahia mnapokutana,Mungu atawezesha.Mtoto anapoumbwa Mungu pekee ndo anajua na miujiza yake.
 
Nendeni wote Hospital, kuna jamaa yangu alikaa 9 years bila mtoto anajiona kidume, nikamshauri twende naye na mimi nitapima maana alikuwa Anaona Aibu akakutwa na shida. Alipewa dawa ya 15,000 na sasa ana watoto 4
Alipewa dawa gani mbona twambie
 
Acha tu!
 
Habari wakuu, natumaini mpo poa. mimi nimeolewa huu mwaka wa 3 ila sijabahatika kupata mimba na siku zangu huwa nazipata vizuri na hata siku za hatari nakutana na Mr. ila sijafanikwa.
Naomba mnisaidie au sijui kuhesabu siku zangu vizuri.
Kwa imani yako ya kuniona mimi tu utakuwa umeshika mimba nitafute nikupe dawa ya kushika mimba na utashika mimba kwa haraka iwezekanavyo.Ukihitaji matibabu toka kwangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…