Msaada katika ndoa: Mwaka wa tatu kwenye ndoa sijapata ujauzito

Imeandikwa ole wake amtegemeaye Mwanadamu,Sasa please endelea kusali then mweke Mungu mbele then nenda hospitali usimwamini binadamu ila kwa kupitia kwa Mungu utapata msaada wako ndo yeye atawawezesha hao madaktari kukutibu.
 
Amina mkuu
 
Huu ni ushauri mzuri kwa watu wanaotaka kupanga jinsia ya mtoto wanayetaka kumzaa
 
Habari wakuu, natumaini mpo poa. mimi nimeolewa huu mwaka wa 3 ila sijabahatika kupata mimba na siku zangu huwa nazipata vizuri na hata siku za hatari nakutana na Mr. ila sijafanikwa.
Naomba mnisaidie au sijui kuhesabu siku zangu vizuri.
mkuu usijali ipo siku yako na wewe utabarikiwa. tumia mbegu za mlonge na majani yake yanasaidia sana katika matatizo ya uzazi kwa mwanaume na mwanamke ukizikosa ulipo ni pm. pia tumia asali mbichi, mdalasini na kitunguu saumu na tangawizi kwa maelezo zaidi ni pm maelezo ni bureee kabisaaa
 
poa mkuu
 
Sasa kama maelezo ni bure, unataka aku- Pm ili iweje!???
 
Mama yangu mkubwa hana mtoto hata m1 lakini anatoa dawa na unapata mimba mwezi huohuo ntakupa no yake akusaidie
 
Mr atakuwa anatoa "mbegu hoho" yaani anategewa kwenye siku za hatari huku refarii akiwa anaaangalia saa yake mkononi lakini wapi hafungi mpira unapaaa juu ya mtambaa panya mithiri ya buleti la Joseph Kaniki!
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu umetisha yaani hata kipa asipokuwepo hafungi hii ni hatar cna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…