Msaada: Kibaka/bodaboda ameniibia simu yangu asubuhi hii

sawa mkuu
 
Reactions: 511
Kumbe kurequest usafiri(bolt) ndio kuchezea simu? au ningerequest ikiwa mfukoni?
 
Simu ni mpya, mwenye Idea nini cha kufanya tafadhali

Kwa bongo utapoteza pesa yako tu, sana sana ripoti polisi ili ikitokea imetumika kwenye matumizi ya kiovu uwe safe...

Ukipata simu nyingine kuwa makini mahali pa kuitumia haswa maeneo ya wazi...
 
kwa hiyo ulikuwa na simu mbili, ? maana umeibiwa simu na kuanzisha uzi wa kuibiwa simu
 
Kuna mtu anakaribia kuingizwa mjini apa....Maumivu ya mtu n fursa kwa mwingine
 
Mwizi wa simu na anayeibiwa simu hao ni wamatumbi tu wasiojua lolote kuhusu smartphone.

Kwa mwizi kumiliki smartphone ya wizi ni sawa na kujikamatisha kwa vyombo vya usalama.

Ikiwa aliyeibiwa ni kilaza hawezi ipata hiyo simu.

Mhanga ikiwa huna uelewa wowote kuhusu smartphone basi samehe tu mwizi wako keshapata mlo
 
Akili zako ndogo sana, kuingia Jamii Forum lazima simu? Au hujui kwamba kuna computer, umeshindwa kusoma hapo kwamba nilikuwa naenda kazini
We kam una computer ulishindwa nn kuitarack au kuifunga simu kwa sababu huna akili.
 
ACHA UONGO WEWE,HUJAIBIWA SIMU ILA UNALETA TU VISTORI UCHWARA!
 
Kumbe kurequest usafiri(bolt) ndio kuchezea simu? au ningerequest ikiwa mfukoni?
Hiyo simu nina uhakika hutoipata na ulifanikiwa kununua nyingine endelea kurikwesti bolti ukiwa umesimama kama hapo uliposimama leo.
 
Mwezi uliopita hapa Arusha kuna vijana walimfanyia dada mmoja hivo wakashikwa wakachomwa kama mshkaki
 
Wanaibiwa simu polisi traffic sembuse wewe,pole sana lakini

Ova
 
Dawa n kumloga tu. Mimi nna mzee wng yko fresh sana.
 
Malipo ni baada ya kazi..
Unatakiwa ulipe kwanza nusu na ukafanyiwa simu ikirudi usipo maliza pesa yako nyuki atakurudia wewe kukumaliza kama alivyomaliza mwizi.


Your browser is not able to display this video.

ukiwa na hiyo hirizi kisu hakiwezi kukuingia mwilini mwako.
 
Kishandu asomewe kurujwani. Yeye na pikipiki yake na ndugu zake wote waadhibiwe.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…