Godlove 17
Member
- May 7, 2023
- 32
- 68
😆😆😆Jobless + mapenzi soon kitawaka
Nimetibiwa Muhimbili miaka yote hyo amna kituTafuta psychiatrist
Pole mkuu nahitaji kukuandikia mengi on how you can overcome that challenge.
Check on me +255658124288 via WhatsApp then I will share with you A lot about negative emotions.
Naomba na MTU mwingine ambaye yupo na msongo Wa mawazo aniche
AsantePole mkuu nahitaji kukuandikia mengi on how you can overcome that challenge.
Check on me +255658124288 via WhatsApp then I will share with you A lot about negative emotions.
Naomba na MTU mwingine ambaye yupo na msongo Wa mawazo anicheki
dawa yako anayo Bwana Yesu. nikuhakikishie!Nimekuwa nikipitia changamoto ya kukosa usingizi,kutaka kujiua toka mwaka 2018 nikiwa chuo baada nikaanza kunywa madawa ya usingizi zaidi ya aina 15 bila kupona,nimeenda sehemu za maombezi pia ila bdo haiponi.Mwaka 2020 nilipata mchumba ambae nae mwaka huu kaenda Jkt nimejikuta ninaishi Kwa mawazo sana maana huyu mwanamke nilikuwa nampenda sana kiufupi Kwa sasa nimekosa direction maana pamoja na kusoma Sina kazi,sipati usingizi na Kuna roho ya kutaka kujiua inanisumbua Kila siku.Naombeni msaada
Asantedawa yako anayo Bwana Yesu. nikuhakikishie!
usiende kwa hawa watumishi makanjanja wauza mafuta na maji.
AMUA KWA DHATI YA MOYO WAKO KUMPA YESU MAISHA YAKO, ATAKUOKOA.
YESU NI BWANA NA MWOKOZI
Hujawahi kubunja amri ya SITA?dawa yako anayo Bwana Yesu. nikuhakikishie!
usiende kwa hawa watumishi makanjanja wauza mafuta na maji.
AMUA KWA DHATI YA MOYO WAKO KUMPA YESU MAISHA YAKO, ATAKUOKOA.
YESU NI BWANA NA MWOKOZI
Pole sana, najua unavyojiskia… mimi imebidi nirudi tu muhimbili( I wish ningekua na neno zuri au motivation ya kukupa) hii Hali inachosha sana sana!Nimetibiwa Muhimbili miaka yote hyo amna kitu
Samahani kama hutojali ww ulikuwa na changamoto ganiPole sana, najua unavyojiskia… mimi imebidi nirudi tu muhimbili( I wish ningekua na neno zuri au motivation ya kukupa) hii Hali inachosha sana sana!
Nilikuwa na hali mbaya mno kuliko wewe mwaka wote 2022 nilikuwa kwenye SHIMO LA MATESO na sikuweza kula au kulala!Nimekuwa nikipitia changamoto ya kukosa usingizi,kutaka kujiua toka mwaka 2018 nikiwa chuo baada nikaanza kunywa madawa ya usingizi zaidi ya aina 15 bila kupona,nimeenda sehemu za maombezi pia ila bdo haiponi.Mwaka 2020 nilipata mchumba ambae nae mwaka huu kaenda Jkt nimejikuta ninaishi Kwa mawazo sana maana huyu mwanamke nilikuwa nampenda sana kiufupi Kwa sasa nimekosa direction maana pamoja na kusoma Sina kazi,sipati usingizi na Kuna roho ya kutaka kujiua inanisumbua Kila siku.Naombeni msaada
Nilikuwa na hali mbaya mno kuliko wewe mwaka wote 2022 nilikuwa kwenye SHIMO LA MATESO na sikuweza kula au kulala!
Lakini sasa nipo mwingi wa furaha na amani hata kama sijapata kile ninachotafuta lakini MATUMAINI yapo.
La msingi kuwa mtu wa sala na maombi; ni kweli kuna kupitezwa kichawi na hasa unapokuwa na mawazo kama ya kujinyonga, that’s serious!
Usiendekeze kukaa bila chochote cha kufanya, utakufa kwa mawazo. Mimi na madegree yangu zaidi ya matatu nakaa kijijini nikipanga mambo yangu huku nafanya shughuli za kawaida za wanakijiji! Ipo siku nitachomoka kama roketi japo miaka 3 imepita sasa lakini mambo yatakuwa vizuri.
Kamwe usitukuze mateso yako wala kuyasikilizia, utaumia sana. Jua hakuna kubwa duniani. Yote Mungu aliyoyaachia yaje kwetu tunayamudu na yana maana katika maisha yetu.
Yaangalie maisha kwa upana mkubwa, sahau yaliyotokea. Dunia hii ina wanawake wazuri mno kuliko huyo uliyemwacha, tafuta mwingin
Asante Kwa ushauri kk ,kama hutojali naomba tuwasilianeNilikuwa na hali mbaya mno kuliko wewe mwaka wote 2022 nilikuwa kwenye SHIMO LA MATESO na sikuweza kula au kulala!
Lakini sasa nipo mwingi wa furaha na amani hata kama sijapata kile ninachotafuta lakini MATUMAINI yapo.
La msingi kuwa mtu wa sala na maombi; ni kweli kuna kupitezwa kichawi na hasa unapokuwa na mawazo kama ya kujinyonga, that’s serious!
Usiendekeze kukaa bila chochote cha kufanya, utakufa kwa mawazo. Mimi na madegree yangu zaidi ya matatu nakaa kijijini nikipanga mambo yangu huku nafanya shughuli za kawaida za wanakijiji! Ipo siku nitachomoka kama roketi japo miaka 3 imepita sasa lakini mambo yatakuwa vizuri.
Kamwe usitukuze mateso yako wala kuyasikilizia, utaumia sana. Jua hakuna kubwa duniani. Yote Mungu aliyoyaachia yaje kwetu tunayamudu na yana maana katika maisha yetu.
Yaangalie maisha kwa upana mkubwa, sahau yaliyotokea. Dunia hii ina wanawake wazuri mno kuliko huyo uliyemwacha, tafuta mwingine.
Msaada wetu unatoka kwa Bwana Yesu Mtafute Mungu madam anapatikana ingia kwenye toba muite Yesu atakuponya maana anasema njoni kwangu ninyi nyote na wenye kulemewa na mizigo nanyi nitawapumzisha Bwana Yesu anakuita njoo kwake, kwake kuna amani kuna uzima wa milele amua leo kuokoka na kuacha dhambi tubuni basi mrejeeNimekuwa nikipitia changamoto ya kukosa usingizi, kutaka kujiua toka mwaka 2018 nikiwa chuo baada nikaanza kunywa madawa ya usingizi zaidi ya aina 15 bila kupona, nimeenda sehemu za maombezi pia ila bado haiponi.
Mwaka 2020 nilipata mchumba ambae nae mwaka huu kaenda JKT nimejikuta ninaishi kwa mawazo sana, maana huyu mwanamke nilikuwa nampenda sana.
Kiufupi kwa sasa nimekosa direction, maana pamoja na kusoma sina kazi, sipati usingizi na kuna roho ya kutaka kujiua inanisumbua kila siku.
Naombeni msaada.