Msaada: Kichwa kinawaka moto kwa mawazo, nakosa usingizi

Msaada: Kichwa kinawaka moto kwa mawazo, nakosa usingizi

Nimekuwa nikipitia changamoto ya kukosa usingizi, kutaka kujiua toka mwaka 2018 nikiwa chuo baada nikaanza kunywa madawa ya usingizi zaidi ya aina 15 bila kupona, nimeenda sehemu za maombezi pia ila bado haiponi.

Mwaka 2020 nilipata mchumba ambae nae mwaka huu kaenda JKT nimejikuta ninaishi kwa mawazo sana, maana huyu mwanamke nilikuwa nampenda sana.

Kiufupi kwa sasa nimekosa direction, maana pamoja na kusoma sina kazi, sipati usingizi na kuna roho ya kutaka kujiua inanisumbua kila siku.

Naombeni msaada.
Ushauri wa kitabibu ndio dawa,ila wenye kuzingatia hali na mazingira yako
 
Nimekuwa nikipitia changamoto ya kukosa usingizi, kutaka kujiua toka mwaka 2018 nikiwa chuo baada nikaanza kunywa madawa ya usingizi zaidi ya aina 15 bila kupona, nimeenda sehemu za maombezi pia ila bado haiponi.

Mwaka 2020 nilipata mchumba ambae nae mwaka huu kaenda JKT nimejikuta ninaishi kwa mawazo sana, maana huyu mwanamke nilikuwa nampenda sana.

Kiufupi kwa sasa nimekosa direction, maana pamoja na kusoma sina kazi, sipati usingizi na kuna roho ya kutaka kujiua inanisumbua kila siku.

Naombeni msaada.
Leejay49 wa II
 
Usipende kukaa mwenyewe jichanganye na watu ni kheri mka danganyane kwenye vijiwe vya kahawa, uta cheka na kufurahi kuliko kukaa peke ako
 
Ingia YouTube then msikilize Pastor Tony Kapola. Mungu atakusaidia!..
Mtu jobless bando la kusikilizwa mahibiri analitoa wapi?. Huyu anatakiwa kwanza kuishi na uangalizi ili wazo la kutothamin uhai lisiendelee kukaa karibu na yey.

Watu wote waliokufa kwa kujiua walishawahi kufikiria au kujaribu kujiua before. Huyu ana psychosis
 
Kamwe usitukuze mateso yako wala kuyasikilizia, utaumia sana. Jua hakuna kubwa duniani. Yote Mungu aliyoyaachia yaje kwetu tunayamudu na yana maana katika maisha yetu.

Yaangalie maisha kwa upana mkubwa, sahau yaliyotokea. Dunia hii ina wanawake wazuri mno kuliko huyo uliyemwacha, tafuta mwingine.

Huu uzi ulipaswa uishie kwenye hii comment...

Mleta uyasome yaliyoandikwa hapa na uyafahamu...
 
Usipende kukaa mwenyewe jichanganye na watu ni kheri mka danganyane kwenye vijiwe vya kahawa, uta cheka na kufurahi kuliko kukaa peke ako
Usikute anakataa kukaa kijiwen sabab akikaa kijiwen stori zao ni graduates tu. Wanamfukuza teknikali. Cha muhimu ahame hayo mazingira aliyoyazoea kwanza
 
Ila ukiwa jobless au kipato kidogo jitahidi kutojihusisha na mapenzi kabisa.
Hata nyeto usipige, komaa kutafuta hata vibarua tu.

Kujihusisha na mambo ya ngono vitakuletea sonona zaidi.

Usilaumu watu kwa kufeli kwako, tathmini makosa na ulipokosea na utafute soln.

Sonona ni mbaya sana, faraja na furaha yako i ndani yako, usimtegemee mpenzi, ndgu au rafiki akupe furaha.

Mimi nilikua najitahidi nipate bundle tu, madem nikaachana nao kabisa na wala sikua natongoza kabisa(mpaka leo).

Mkuu usitegemee demu wako akupe furaha, jitafute wewe mwenyewe. Ridhika na ulichonacho, usitake kua kama fulani, jitafute.

Ulikosea wapi?? Rekebisha, muda unao, nguvu unazo, wao wana nini na wewe ushindwe.

Ni mwiko na marufuku kukata tamaa.
 
Tafuta kazi ya kufanya akili iwe bize, usikae idle. Life is full of options.
 
Huu uzi ulipaswa uishie kwenye hii comment...

Mleta uyasome yaliyoandikwa hapa na uyafahamu...
Kwa nn iishie hapo? Mto mada anasema sonona akiipata kabla ya huyo mwanamke kutengana nae.

Huyu jamaa Yuko idle, kama angekuwa mwanamke angkuwa katika risky kubwa zaidi.. Hapa muhimu apate hata casual job nje ya mazingira aliyozoea, watu wapya na huko Dunia itafunguka hata kimawazo. Atakuwa huru kihisia na kiuchumi hasa kuangalia Fursa zaidi.

Mwenye uwezo wa kuajir shamba boi amsaidie huyu amtoe huko anakoish kwanza
 
Nimekuwa nikipitia changamoto ya kukosa usingizi, kutaka kujiua toka mwaka 2018 nikiwa chuo baada nikaanza kunywa madawa ya usingizi zaidi ya aina 15 bila kupona, nimeenda sehemu za maombezi pia ila bado haiponi.

Mwaka 2020 nilipata mchumba ambae nae mwaka huu kaenda JKT nimejikuta ninaishi kwa mawazo sana, maana huyu mwanamke nilikuwa nampenda sana.

Kiufupi kwa sasa nimekosa direction, maana pamoja na kusoma sina kazi, sipati usingizi na kuna roho ya kutaka kujiua inanisumbua kila siku.

Naombeni msaada.
Kama uko dar tembelea sinza Mori Kuna ajent pale wa kazi za nje ya hii nchi anaitwa competitive manpower limited.

Ngoja nikutaftie namba zao kwa mdau kwnza. Kuna jamaa humuhm jf amepata mchongo hapo juzi juzi tu
 
Back
Top Bottom