Msaada: Kichwa kinawaka moto kwa mawazo, nakosa usingizi

Meza citaloprilom 20mg kidonge kimoja na promethazine 20mg vidonge viwili kila siku usiku
Acha kujenga hofu ya kupata usingizi just relax utakuja tu wenyewe

Sent from my 21061119AG using JamiiForums mobile app
 
Ukiwa unafikiria kujiua unwaaz kutumia nini illi ufeharak
 
Daah mzee unabahati kuwa hai
..kaZi au mapenzi visijufanye ukahisi kujiua ...mfano mm naumwa sana but BAdo nadunda tu kesho ipo ww ni zaidi ya kifo kka

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Nimekuwa nikipitia changamoto ya kukosa usingizi, kutaka kujiua toka mwaka 2018 nikiwa chuo baada nikaanza kunywa madawa ya usingizi zaidi ya aina 15 bila kupona, nimeenda sehemu za maombezi pia ila bado haiponi.

Mwaka 2020 nilipata mchumba ambae nae mwaka huu kaenda JKT nimejikuta ninaishi kwa mawazo sana, maana huyu mwanamke nilikuwa nampenda sana.

Kiufupi kwa sasa nimekosa direction, maana pamoja na kusoma sina kazi, sipati usingizi na kuna roho ya kutaka kujiua inanisumbua kila siku.

Naombeni msaada.
Anza utaratibu was kuchemsha chai yenye majani yakutosha bila kuweka sukari!

Kunywa vikombe vitatu asubuhi mchana na jioni kabla ya kwenda kulala! caffeine ikuondolee kwanza stress!utalala vizuri TU!
 
R I P
Wewe unastahili kufa hutakiwi katika taifa la wenye maono makubwa.
Wenzako hata chuo hawajafika, wengine mpaka uniform ziliwashinda wakaishia darasa la Tano lakini hawajawahi kuwaza ujinga wa kujiua.
 
Pole mkuu nahitaji kukuandikia mengi on how you can overcome that challenge.

Check on me +255658124288 via WhatsApp then I will share with you A lot about negative emotions.

Naomba na MTU mwingine ambaye yupo na msongo Wa mawazo anicheki
🤣🤣 zingatia maokoto
 
Nimekuwa nikipitia changamoto ya kukosa usingizi, kutaka kujiua toka mwaka 2018 nikiwa chuo baada nikaanza kunywa madawa ya usingizi zaidi ya aina 15 bila kupona, nimeenda sehemu za maombezi pia ila bado haiponi.

Mwaka 2020 nilipata mchumba ambae nae mwaka huu kaenda JKT nimejikuta ninaishi kwa mawazo sana, maana huyu mwanamke nilikuwa nampenda sana.

Kiufupi kwa sasa nimekosa direction, maana pamoja na kusoma sina kazi, sipati usingizi na kuna roho ya kutaka kujiua inanisumbua kila siku.

Naombeni msaada.
Sio vizuri kufikiria kutaka kujiua.
Umetaka kujiua toka 2018. Lakini hujajiua bado.
Kwa hiyo sadness,depression inakuja na kwenda.
 
Nimekuwa nikipitia changamoto ya kukosa usingizi, kutaka kujiua toka mwaka 2018 nikiwa chuo baada nikaanza kunywa madawa ya usingizi zaidi ya aina 15 bila kupona, nimeenda sehemu za maombezi pia ila bado haiponi.

Mwaka 2020 nilipata mchumba ambae nae mwaka huu kaenda JKT nimejikuta ninaishi kwa mawazo sana, maana huyu mwanamke nilikuwa nampenda sana.

Kiufupi kwa sasa nimekosa direction, maana pamoja na kusoma sina kazi, sipati usingizi na kuna roho ya kutaka kujiua inanisumbua kila siku.

Naombeni msaada.
Upo katika wakati mgumu sana,lakini njia hii ya kushirikisha watu utapona
 
Hivi toka 2018 mpaka sasa ni miaka 15 imepita ee?? Au nimimi kichwa kinawaka Moto sielewi
Anyway we kinachokusumbua ni kukosa ajira umehitim chuo unaona wenzako mliomaliza nao shule wengi wamepata ajira wengine wana maisha safi we kwa upande wako score board bado inasoma 00 hapo mdo unazid kuchanganyikiwa na kichwa kuwaka moto!!
Fanya hivi usikae kizembe tafuta kazi hata iwe ya kubeba zege chukua vyeti vyako vifungie kabatini uingie mtaani na akili yako bila cheti aibu tupa kule haitakusaidia chochote baada ya mwaka utaona mabadiliko pesa ikianza kuingia hutawaza tena kujiua kuhusu demu utapata pisi kali kuliko hiyo ya jkt mwisho wa siku utakua mtu bora (I'm talking from experience).
Kama hiyo akili ya kujinyonga au kujiua itaendelea nenda kanisani kaombewe utakua sawa hayo ni mapito ya maisha, ishi maisha yako usijilinganishe na fulani jilinganishe wewe wa Jana na wewe wa leo only that you gonna hit the success.
 
Nilimuacha dem wangu dar pisi kali kinoma nikaja mkoani kujitafuta siku zilivyokua zinazidi kwenda mawasiliano yakawa yanapungua inaweza pita siku hatujawasiliana, nikajiongeza nikaamua kumfungia vioo nayeye akafanya the same nikawa naview status zake za mafumbo baadae nikaamua kuacha na kuangalia status zake tho naumia coz nilimpenda ila maisha ndio yametutenganisha uwezo wa kumuhudumia sasa mimi sina bado najitafuta, ni mwanamke mzuri lazima atapata mtu mwenye uwezo, G nilikupenda ila nimeamua nijitenge ili kuepusha mengi, haya maisha kama huna hela mapenzi weka pembeni. Am out.
Nipe namba yake mkuu.
 
Nimekuwa nikipitia changamoto ya kukosa usingizi, kutaka kujiua toka mwaka 2018 nikiwa chuo baada nikaanza kunywa madawa ya usingizi zaidi ya aina 15 bila kupona, nimeenda sehemu za maombezi pia ila bado haiponi.

Mwaka 2020 nilipata mchumba ambae nae mwaka huu kaenda JKT nimejikuta ninaishi kwa mawazo sana, maana huyu mwanamke nilikuwa nampenda sana.

Kiufupi kwa sasa nimekosa direction, maana pamoja na kusoma sina kazi, sipati usingizi na kuna roho ya kutaka kujiua inanisumbua kila siku.

Naombeni msaada.
Nenda kwa Mwamposa.
Pili tafuta vibarua ufanye huko viwandani au tafuta bajaji ulipe kwa KIPANDE.
Ogea chumvi ya mawe.
Pia tumia mkojo Kama mkuu mmoja alivyoeleza.
 
Nimekuwa nikipitia changamoto ya kukosa usingizi, kutaka kujiua toka mwaka 2018 nikiwa chuo baada nikaanza kunywa madawa ya usingizi zaidi ya aina 15 bila kupona, nimeenda sehemu za maombezi pia ila bado haiponi.

Mwaka 2020 nilipata mchumba ambae nae mwaka huu kaenda JKT nimejikuta ninaishi kwa mawazo sana, maana huyu mwanamke nilikuwa nampenda sana.

Kiufupi kwa sasa nimekosa direction, maana pamoja na kusoma sina kazi, sipati usingizi na kuna roho ya kutaka kujiua inanisumbua kila siku.

Naombeni msaada.
Umekalibia kupatwa na kiharusi
 
download (1).jpeg

Kinachokusumbua ww ni uoga,sasa ukisikia hiyo hali ya hofu,wasiwasi..piga pafu moja chumbani kwako na utakuwa fresh hautaogopa chochote...amini kwamba
 
Back
Top Bottom