Wewe Sasa ukijiuwa utapata kazi? Acha ufala wewe.Mimi nilikuwa na nyumba nne na gari 8 nanilipoteza zoote ila sikuwazaga hata kujiuwa.Wewe ni msomi shida Yako ni AIBU unataka uwe ofisini?? Tafuta biashara ndogondogo ufanye ukiwa unasubiri baraka za Mungu.Fanya kazi yeyote ya Halali upate kula,tumbo linataka chakula daily haisubiri upate kazi kwanza.Ukiwa na shughuli ndogo za kufanya huwezi kuwa na mawazo ya kipuuzi hayo.Hasara ya kujiuwa ni kwamba Mungu atakudai roho yake aliokupa na utaishia kwenye Moto.Ukome kwenda Kwa Manabii FEKI watakupoteza akili na matumaini ya uongo.Soma Bible na ufunge utaona .maajabu.Zoma Zaburi.