mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Ndomana hutakiwi kupenda sanaNilimuacha dem wangu dar pisi kali kinoma nikaja mkoani kujitafuta siku zilivyokua zinazidi kwenda mawasiliano yakawa yanapungua inaweza pita siku hatujawasiliana, nikajiongeza nikaamua kumfungia vioo nayeye akafanya the same nikawa naview status zake za mafumbo baadae nikaamua kuacha na kuangalia status zake tho naumia coz nilimpenda ila maisha ndio yametutenganisha uwezo wa kumuhudumia sasa mimi sina bado najitafuta, ni mwanamke mzuri lazima atapata mtu mwenye uwezo, G nilikupenda ila nimeamua nijitenge ili kuepusha mengi, haya maisha kama huna hela mapenzi weka pembeni. Am out.
Kwenye maisha yako mapenzi yape asilimia chache tu
Ova