Clear37
Senior Member
- Oct 25, 2023
- 113
- 165
Nahisi unamatatizo ya afya ya akili,waone wataalamu wakusaidie,kupata supplementary sidhani kama ni tatizo kubwa la kufanya ufikirie kijiua hasa Kwa tuliopita vyuo ni jambo lipo la kawaida.Nikushauri pia jitahidi kusocialize na watu usipende kukaa mwenyewe na kujifungia,jichanganye japo maskani za hapo mtaani kwenu piga story na washkaji ongea Cheka relax,tafuta mwanamke mwingine awe karibu yako atakutoa upweke(proved).pole sana usiruhusu hiyo hali itawale maisha yako.
Hyo hali ilinianza kubla ya kuishi na huyu binti baada ya kupata supplementary 2018