Msaada: Kichwa kinawaka moto kwa mawazo, nakosa usingizi

Asante Kwa ushauri mzuri
 
Tafuta watu waliobobea katika saikologia wakupe mwongozo. Pole mkuu, dunia ndivyo ilivyo, yahitaji moyo na ujasiri. Nimalizie kwa kusema "hakuna dhambi kubwa kama kukata tamaa".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…