Shida ilianzia hapo kwenye kumpiga balaaa....Mtoto anaweza kupoteza uwezo wa kuzungumza vyema kama atakua anapigwa. Confidence inapungua kwa kiasi kukubwa hence anashindwa kua na speech nzuri.Nina kijana mwenye miaka 18 sasa hivi yupo form four, anasoma day yaani kwenda na kurudi nyumbani.
Changamoto yake si mtu wa kueleweka anapoongea. Anaweza ongea vitu viwili vinavyokinzana na bado yeye anaona yuko sawa. Kifupi yaani hawezi hata kuevaluate logic.
Mfano: umeenda shule
Yeye: Sijaenda kwa sababu sina hela ya shule.
Mzazi: Mbona hukuniambia
Yeye: weekend huwa hatuendi!
Yaani mambo ya mfumo huo. Visa ni vingi yaani hadi huwa nahisi labda ana shida fulani.
Huko nyuma alikuwa na tatizo la uongo, nilikuwa namtandika balaa, lakini tangu aingiae form 2 hadi sasa huwa simpigi kabisa.
Ni shida gan hii? Huwa najaribu kukaa nae kwa utulivu kujadili nae aseme kama kuna shida lakini anasema hamna, mbaya zaidi yeye hata ukimrudishia maelezo yake anaona hayana shida!
Je, hii ni kawaida wana saikolojia?
Dalili za bangi .....bangi mtu akiaanza kuvuta akiwa mtoto huwa inatabia ya kuchanganya ndo maaana wataalamu wanashauri bangi ivutwe kwa mtu atleast miaka 20 kwenda juu... ushauri tafuta kipimo cha bangi karikoo kwenye maduka kariakoo kile kipimo unamuomba mkojo ...kisha unasoma majibu kikisoma kwenye THC jua anavuta... bangi huwa ni hatari sana kwa mtoto mdogo sababu ubongo hauja komaaaNina kijana mwenye miaka 18 sasa hivi yupo form four, anasoma day yaani kwenda na kurudi nyumbani.
Changamoto yake si mtu wa kueleweka anapoongea. Anaweza ongea vitu viwili vinavyokinzana na bado yeye anaona yuko sawa. Kifupi yaani hawezi hata kuevaluate logic.
Mfano: umeenda shule
Yeye: Sijaenda kwa sababu sina hela ya shule.
Mzazi: Mbona hukuniambia
Yeye: weekend huwa hatuendi!
Yaani mambo ya mfumo huo. Visa ni vingi yaani hadi huwa nahisi labda ana shida fulani.
Huko nyuma alikuwa na tatizo la uongo, nilikuwa namtandika balaa, lakini tangu aingiae form 2 hadi sasa huwa simpigi kabisa.
Ni shida gan hii? Huwa najaribu kukaa nae kwa utulivu kujadili nae aseme kama kuna shida lakini anasema hamna, mbaya zaidi yeye hata ukimrudishia maelezo yake anaona hayana shida!
Je, hii ni kawaida wana saikolojia?
AiseeeChannel haziko vyema hebu nenda kwa wataalamu... Vipi ukiwadodosa walimu wake na marafiki zake wanasemaje? Nauliza tu sababu hao ndio wanamjua kuliko wewe.
Ikitokea wanakwambia yuko sawa itabidi wewe ndio uwahi mirembe kuchekiwa
Huo ni mmea moja kwa moja kama mdomo umeanza kuwa mweusi ajue n hivyoKuwa makini nae upande wa bangi huenda anavuta mneli
Kuwa makini nae upande wa bangi huenda anavuta mneli
Kuwa makini nae hizo akili sio anaweza kukupoteza lawama ziende kanda maalumu!Aina nyingi za speech impairment ni psychological. Kwa mfano kama mtoto hajawahi kuwa huru kuongea, kila akifungua mdomo unamkosoa au kumkaripia jua unamsababishia kilema cha maisha. Itahitajika msaada wa mtaalamu wa saikolojia angalau kupunguza tatizo.
Na mbaya zaidi mtoto akigundua ana hilo tatizo na ikatokea wenzake wanantania shuleni basi anaweza hata kuanza kunywa pombe na kuvuta bangi ili ku cope na hayo mazingira magumu anayoishi.
Tupunguze ukoloni na vipigo kwa watoto. Yes usiwalee kizungu lakini ukatili kwenye mambo madogo madogo sio poa kabisa. Kulea mtoto sio chakula, mavazi na malazi pekee.
Nina kijana mwenye miaka 18 sasa hivi yupo form four, anasoma day yaani kwenda na kurudi nyumbani.
Changamoto yake si mtu wa kueleweka anapoongea. Anaweza ongea vitu viwili vinavyokinzana na bado yeye anaona yuko sawa. Kifupi yaani hawezi hata kuevaluate logic.
Mfano: umeenda shule
Yeye: Sijaenda kwa sababu sina hela ya shule.
Mzazi: Mbona hukuniambia
Yeye: weekend huwa hatuendi!
Yaani mambo ya mfumo huo. Visa ni vingi yaani hadi huwa nahisi labda ana shida fulani.
Huko nyuma alikuwa na tatizo la uongo, nilikuwa namtandika balaa, lakini tangu aingiae form 2 hadi sasa huwa simpigi kabisa.
Ni shida gan hii? Huwa najaribu kukaa nae kwa utulivu kujadili nae aseme kama kuna shida lakini anasema hamna, mbaya zaidi yeye hata ukimrudishia maelezo yake anaona hayana shida!
Je, hii ni kawaida wana saikolojia?
Inakua faster tu gear ana change anganiHuyu anafaa kuja kugombea nafasi za juu za uongozi hapo mbeleni
Akafanye niniKanisani kwenye maombi umempleka?
Unajuaje kama sio muendelezo wa uongo wake; anakuchanganya kila unapombana na hivyo kumuacha kwamba haeleweki...Huko nyuma alikuwa na tatizo la uongo, nilikuwa namtandika balaa, lakini tangu aingiae form 2 hadi sasa huwa simpigi kabisa.