Msaada: Kijana wangu anaongea vitu havieleweki, atakuwa na tatizo gani?

Tatizo lilianza alipoonyesha kua muongo.

Kisha ukaresort kwenye adhabu.

Kwa mfano uliotoa kwamba haendi kisa pesa ila sababu ya kutokuambia inakua ni weekend.

Inafanya tusifikie muafaka kama hii ni evasive maneuver aliyoamua kuadopt au ana shida ya speech recognition.

Ofisi ya Ustawi wa Jamii inatakiwa kutoa Psychosocial support. Jaribu kumconsult mmoja wa eneo lako. Ama nenda tu hospitali.
 
Huyo hajiamini, tatizo lake ni la saikolojia, ku rewire ubongo wake tena si kazi ya kitoto, mtu wa aina hiyo hawezi kujua kirahisi kama ana shida au hata akijua hawezi kukwambia maana hizo guts Hana. Inaweza chukua miaka kurudi kawaida, usione huku mitaani Kuna watu wazima na heshima zao lakini wana mambo ya ajabu ni kwasababu matatizo yaliyowatokea utotoni hivyo wameyarithi kwenye mazingira udogoni na yeye atajaribu kuwarithisha wengine na hapa ndipo uchawi unavyoanza.
 
Sio bangi hiyo?
 
Mwenye matatizo ya akili ni wewe. Hata mimi uje weekend uniulize kama nimeenda shule na unajua ni jpili, nitakujibu hovyo tu..
Umesoma vizuri mkuu😁😁


Jamaa amesema siku za shule akimuuliza mbona hujaenda shule dogo anachanganya mada anasema Leo weekend hatuendi shule😂😂😂
 
We mwenyewe ndo mchawi wa hilo tatizo kipigo kinaua sana confident ya mtoto
. ufanya mtoto kuwa muongo
. ufanya mtoto asijiamini
.uondoa ukaribu wa mzazi na mtoto
.kagua mnaishije na mama yke kwa kuheshimiana au kuvunjiana heshima mbele ya watoto.
 
Wastan sanaa sana mno

Kifupi tumegombana sana had ikafika nikaamua kukubali kua wenda ndo akili zake zilipofikia.
Maana mi shuleni nilikuaga wa motooo
Mama yake kiakili yukoje? Pole mkuu, mtoto anauma sana, nakushauri mature Dr Kweka Mtaalam wa masuala ya akili aweze kukusaidia
 
Wastan sanaa sana mno

Kifupi tumegombana sana had ikafika nikaamua kukubali kua wenda ndo akili zake zilipofikia.
Maana mi shuleni nilikuaga wa motooo
Na vipi kuhusu utendaji wake wa shughuli zingine zisizohusiana na shule? kuanzia zile za nyumbani na zaidi, anazifanya kwa usahihi?
 
Huu Uzi wako mbona kama vile ni repeated Kuna mtu miaka miwili nyuma aliwai leta scenario kama Yako, au ndiyo copy and paste?
Kutafuta engagement
Labda matatizo yanafanana??
Sipo kwa ajili ya kutafuta engagement inanisaidia nn?
Nipo kupata msaada
 
Mwenye matatizo ya akili ni wewe. Hata mimi uje weekend uniulize kama nimeenda shule na unajua ni jpili, nitakujibu hovyo tu..
We naye ni chizi
Unajua anasoma shule gan na program gan au umekalili kua weekend watoto hawaend shule
 
Huyo mtoto anavuta bangi tayari mkuu,fanya uchunguzi kuhusu marafiki zake.Kwa lugha nyepesi anakudharau
 
Labda ananena kwa lugha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…