Msaada: Kijana wangu anaongea vitu havieleweki, atakuwa na tatizo gani?

Channel haziko vyema hebu nenda kwa wataalamu... Vipi ukiwadodosa walimu wake na marafiki zake wanasemaje? Nauliza tu sababu hao ndio wanamjua kuliko wewe.
Ikitokea wanakwambia yuko sawa itabidi wewe ndio uwahi mirembe kuchekiwa
Nimechekaa hatariii, 😂😂😂😂😂
Ila waja. Lol
 
Pole kwa changamoto hii unayopitia. Mpeleke mtoto hospital ya karibu yenye wataalamu wa afya ya akili, Hawa watawasikiliza na kuwapa ushauri Bora wa Nini mfanye kuepukana na hili au kupunguza hiyo kadhia. Wataalmau Hawa wapo kuanzia hospitali za wilaya, mkoa na rufaa. Ni vituo vya afya(Health center) vichache vyenye wataalamu Hawa.
 
😂😂😂😂
 
Huyo ni Genius ndio mana humuelewi
 
Mwanzo ako na autism…, just nenda naye tararibu
 
Huyo anavuta msuba mkuu,na kupiga sana ni tatizo,huenda ana kipaji wewe unamskuma asikotaka
 
Dogo ana akili sana Kuna mambo yake ya mbele anafikiria alafu we unakaa kumuuliza uliza maswali..
Mpe order atekeleze usimuulize maswali
 
Labda lakin Genius lazima reason yake imeki sensi mkianza kudadavua
Unapomuuliza swali lazima jibu lake litakuwa swali ili ujiulize swali wewe mwenyewe

Au jibu lake litakuacha na maswali mengi.

Mchunguze vizuri hasa nyakati za usiku wa kuanzia saa nane.Ukimuona Muda huo yupo macho basi zidisha kufatilia.

Ukiona Muda huo analala basi naza kufatilia Muda wake kamili WA kulala.

Watoto wa namna hiyo hawapati usingizi mapema wakati mwingine hujifanya wanaenda kulala lakini hawalali wao Ni kutafakali mambo Tu.
 
Wastan sanaa sana mno

Kifupi tumegombana sana had ikafika nikaamua kukubali kua wenda ndo akili zake zilipofikia.
Maana mi shuleni nilikuaga wa motooo
Hiyo kumchapachapa usikute imemletea shida mahali
 
Dogo ana akili sana Kuna mambo yake ya mbele anafikiria alafu we unakaa kumuuliza uliza maswali..
Mpe order atekeleze usimuulize maswali
Hata mimi nahisi hivo, huyo mtoto inaonesha anataka uhuru fulani ila wazazi ni kama wanamzonga
 
Angalia vizuri .. isije kuwa ni muendelezo wa uongo anakufunga kamba .. ..kwa kukufanya ushindwe kumuelewa.. ..ili apumue na usumbufu wako!
 
Wastan sanaa sana mno

Kifupi tumegombana sana had ikafika nikaamua kukubali kua wenda ndo akili zake zilipofikia.
Maana mi shuleni nilikuaga wa motooo
Acha basiiii 🤣

Tunaijua hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…