Chuku chuku
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 873
- 1,360
Mwamini Yesu utapona!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👆fuata ushauri huu hapa, Tena Kama muislamu uwe na udhu muda wote, halafu punguza kutumia sana manukatoMsaada wako ni kusali sana kulingana na imani yako ndio ataondoka. Otherwise atendelea kuk
utumia
Natumai mko poa wakuu na mwenye matatizo Mungu amuondoshee.
Kuna Hali naipitia maishan mwangu,mwanzo niliidharau lakini kwa Sasa naumiza Sana kichwa kuujua ukweli wa hili jambo.Kwa kuwa najua humu Kuna wenye ujuzi juu ya mambo mbalimbali naomba niwashirikishe hili kupata ushauri wenu.
Mara ya Kwanza nilipooa mke yule alikuwa anapandisha jini na yule jini ilifika siku aliomba nimsaidie kwani amefungwa na mchawi kwa kuwa anatoa Siri zake nyingi. Akaniagiza mishumaa 7 na baadh ya dawa na akaniagiza Cha kufanya.
Kweli nilifanya Ile kazi na nikamuogesha dawa akiwa amepanda kichwan kwa wife.hapo alishukuru Sana na akasema Sasa yupo huru duniani.
Mambo yakaanza sasa ikawa nikifanya mapenzi na mke wangu anakuja yeye kichwan nami namsugua kwelikweli aisee.
Cha kushangaza wife akiamka anakuwa hajui kabisa kama tumesex na hata uchi wake unakuwa Kama hajafanya kitu wakat unakuta imepigwa show Kali sana,nikajua nasex na yule jini.
Tufupishe story
Maisha haya yaliendelea na hata ikafika wakati maajabu yakaanza sasa.
Akaanza kunipigia simu kwa namba ya tigo 0659 .. ... .. anajitambulisha na ananiambia nipo hapa ufukweni nmetulia nikaona nikupgie,tunaongea na akikata simu muda huohuo nkpga hapatikan
Kuna siku Niko ndan akanipigia simu ananiambia nipo nje nikamkazia leo nataka nikuone akasema toka nje utanihisi Ila hutoweza kuniona kwa macho yako Basi nikatoka nje mbele yangu Kuna Baraza wamama kibao wamekaa
Ananiambia nipo hapa nakuona,nikamwambia acha kunizingua akaniambia ngoja nikuguse hili uamini Basi nikahisi mkono laini umenikamata begani nikageuka nyuma sion mtu Hapo nikahisi kuchanganyikiwa nikarud ndan fasta.
Maisha yakaenda mpaka nikatengana na yule mke kwa sababu zingine ambazo sikuweza kuzivumilia nikamuacha
MKE WA PILI
-Nikaoa Tena mke mwingine,huyu hakuwa na pepo Wala kibwengo chochote tukaishi Kama miez sita,baada ya Hapo Ile Hali ikarudi nikisex nae mara jini anaingia yeye na akiingia yeye namgonga kwelikweli mpk anaenjoy ananiaga anaondoka,wife akiamka anakuwa Kama yule wa mwanzo hajui lolote Wala anasema hatujafanya kitu na anakuwa na hamu zake vilevile Kama hajafanya kitu nampa haki yake tunalala.nikaja nikaachana nae baada ya kujua kufanya dhambi niliyoshindwa kumvumilia.
MKE WA TATU(aliyepo)
Baada ya kuoa haikuchukua muda Hali ileile ikarudi,juzi nimeamka asubuh Kila nikitaka kutoka home nilipatwa na usingiz mkali Sana ambao sijawahi patwa nikalala ghafla nikaota niko hotelini nasex na yule jini mpaka tukamaliza,kuamka wife akaniambia alikuwa ananitazama tu ninavokata mauno na kusikilizia utamu kitandani,nikamwambia Ni ndoto tu Ila Cha ajabu nilimwaga sperms lkn sikuona boxa Wala shuka kulowa.
Sasa maswali ninayojiuliza Ni haya
-huyu kiumbe Ni yuleyule au Ni mwingine?
-kama Ni yuleyule kwanini aning`ang`anie hivi
-Je naweza kufanya lipi nimuone live na nimgongege live?
Je naweza kumuendesha nitakavyo?
Wenye ujuzi angalau kidogo na mambo haya ya kiroho napokea ushauri wowote.
#Mshana na wengineo karibuni
[emoji1][emoji1][emoji1] ilikuaje , stori kamiliHaya mambo yasikie tu mpaka nilivyoona mtu anakata mauno na miguno msibani jua kali linawaka
Hebu jaribu chuma hiki Mkuu https://web.facebook.com/friends/suggestions/?profile_id=100068820111347-Je naweza kufanya lipi nimuone live na nimgongege live?
Je naweza kumuendesha nitakavyo?
Mm napenda Sana vitu vya kutishatisha mkuu Yani hiyo iko ndani ya damu iwe vitabu,hadithi mtandaoni,movies nk yaani siogop kbsa
Hamna Bali ndio unakuwa na bahat Sana,pia nikitembea na mwanamke hawez kuniacha tena hate akiwa mke was mtu ila siku izi spend ngono zembe kabisa
Sioni kama una shaurika endelea tu na mishe zakomm sijihusishi na mambo ya dini mkuu wangu
MKUU HEBU FAFANUA VIZURI HAPA nikaja nikaachana nae baada ya kujua kufanya dhambi niliyoshindwa kumvumiliaNatumai mko poa wakuu na mwenye matatizo Mungu amuondoshee.
Kuna Hali naipitia maishan mwangu,mwanzo niliidharau lakini kwa Sasa naumiza Sana kichwa kuujua ukweli wa hili jambo.Kwa kuwa najua humu Kuna wenye ujuzi juu ya mambo mbalimbali naomba niwashirikishe hili kupata ushauri wenu.
Mara ya Kwanza nilipooa mke yule alikuwa anapandisha jini na yule jini ilifika siku aliomba nimsaidie kwani amefungwa na mchawi kwa kuwa anatoa Siri zake nyingi. Akaniagiza mishumaa 7 na baadh ya dawa na akaniagiza Cha kufanya.
Kweli nilifanya Ile kazi na nikamuogesha dawa akiwa amepanda kichwan kwa wife.hapo alishukuru Sana na akasema Sasa yupo huru duniani.
Mambo yakaanza sasa ikawa nikifanya mapenzi na mke wangu anakuja yeye kichwan nami namsugua kwelikweli aisee.
Cha kushangaza wife akiamka anakuwa hajui kabisa kama tumesex na hata uchi wake unakuwa Kama hajafanya kitu wakat unakuta imepigwa show Kali sana,nikajua nasex na yule jini.
Tufupishe story
Maisha haya yaliendelea na hata ikafika wakati maajabu yakaanza sasa.
Akaanza kunipigia simu kwa namba ya tigo 0659 .. ... .. anajitambulisha na ananiambia nipo hapa ufukweni nmetulia nikaona nikupgie,tunaongea na akikata simu muda huohuo nkpga hapatikan
Kuna siku Niko ndan akanipigia simu ananiambia nipo nje nikamkazia leo nataka nikuone akasema toka nje utanihisi Ila hutoweza kuniona kwa macho yako Basi nikatoka nje mbele yangu Kuna Baraza wamama kibao wamekaa
Ananiambia nipo hapa nakuona,nikamwambia acha kunizingua akaniambia ngoja nikuguse hili uamini Basi nikahisi mkono laini umenikamata begani nikageuka nyuma sion mtu Hapo nikahisi kuchanganyikiwa nikarud ndan fasta.
Maisha yakaenda mpaka nikatengana na yule mke kwa sababu zingine ambazo sikuweza kuzivumilia nikamuacha
MKE WA PILI
-Nikaoa Tena mke mwingine,huyu hakuwa na pepo Wala kibwengo chochote tukaishi Kama miez sita,baada ya Hapo Ile Hali ikarudi nikisex nae mara jini anaingia yeye na akiingia yeye namgonga kwelikweli mpk anaenjoy ananiaga anaondoka,wife akiamka anakuwa Kama yule wa mwanzo hajui lolote Wala anasema hatujafanya kitu na anakuwa na hamu zake vilevile Kama hajafanya kitu nampa haki yake tunalala.nikaja nikaachana nae baada ya kujua kufanya dhambi niliyoshindwa kumvumilia.
MKE WA TATU(aliyepo)
Baada ya kuoa haikuchukua muda Hali ileile ikarudi,juzi nimeamka asubuh Kila nikitaka kutoka home nilipatwa na usingiz mkali Sana ambao sijawahi patwa nikalala ghafla nikaota niko hotelini nasex na yule jini mpaka tukamaliza,kuamka wife akaniambia alikuwa ananitazama tu ninavokata mauno na kusikilizia utamu kitandani,nikamwambia Ni ndoto tu Ila Cha ajabu nilimwaga sperms lkn sikuona boxa Wala shuka kulowa.
Sasa maswali ninayojiuliza Ni haya
-huyu kiumbe Ni yuleyule au Ni mwingine?
-kama Ni yuleyule kwanini aning`ang`anie hivi
-Je naweza kufanya lipi nimuone live na nimgongege live?
Je naweza kumuendesha nitakavyo?
Wenye ujuzi angalau kidogo na mambo haya ya kiroho napokea ushauri wowote.
#Mshana na wengineo karibuni
Mwamposa NabiiWewe ndio utakuwa na hayo majini sio hao wake zako,karibu kwa nabii mwamposa uondoe takataka zote hizo
Huwezi toka na baraka, ndo maana mwanamke wa kwanza na wa pili waliondoka.
Yeye anasema walifanya makosa,lakini ukitafakari Ni kwamba walitengenezewa zengwe na huyo jini katika ulimwengu wa Roho. Hi iliambatana na jamaa kufanywa akose hata punje ya msamaha kwao, maana alishakubaliana urafiki na jini.
Mtoa mada unataka kutibu tatizo au kumuona huyo kiumbe live
Asante kwa ushauri wako mkuu,Ndugu poleni sana, unahitaji msaada wa haraka, kuna ulimwengu wa Roho na kuna ulimwengu wa mwili ambao ndo huu tunaishi, kinachofanyika kwenye ulimwengu wa Roho majini ya Baharini ambayo yanaongozwa na Malikia wa pwani ndiyo hujegeuza kuwa wasichana na kuja kwenye ndoto na kufanya mapenzi, na hawawezi kuja live maaana hawana uwezo wa kuja duniani live maana hawana mili ya duniani, na hawa mapepo ni halisi ni viumbe wa kutisha lengo lao ni kumfanyia kazi shetani na kuwapeleka wanadamu wengi motoni, hawa viumbe ni hatari sana na utakutana nao kwenye umbo lao halisi siku utakavyokufa na hapo utajuta na hautakuwa na mda wa kutengeneza
Hawa majini wa kike wakikupenda wanawatafuta watu wa kwenu ambao ni wachawi na wanapeleka mahari kwenu kupitia njia ya kichawi, kinachofanyika unafunga nayo ndoa kwenye ndoto au kwenye ulimwengu wa Roho, na huwezi kukaa na mwanamke yeyote ndugu na hata ukioa huwezi kukaa na mke!! Na kibaya zaidi ukifanya nao mapenzi zile sperm wanazichukua wanazipeleka kuzimu kwenye kuzifanyia uchawi wao, hutaishi mda mrefu nayo wakiishapata mtoto na wewe!! Tabua kazi kubwa ya viumbe hivyi ni kuchinja kuua na kuharibu, (Yohana 10:10), ndugu ipo njia ya kujinasua kutoka kwenye haya majini mahaba na njia ni nyepesi kabisa, naomba kama kweli umedhamiria kuachana na majini mahaba naomba nifuate inbox!! Nitakusaidia na wewe utawasaidia wengine, usione ni ufahari kufanya mapenzi na shetani, laiti ungemjua huyo kiumbe ndugu yangu, na ukiona unamwaga shahawa na ukiamua huzioni jua kifo chako kinakaribia, Roho yako ilishachafuliwa ndugu yangu unahitaji msaada wa Mungu, kumbuka Mungu aliumba wanadamu kwa wanadamu sio mwanadamu kwa majini!!
Natumai mko poa wakuu na mwenye matatizo Mungu amuondoshee.
Kuna Hali naipitia maishan mwangu,mwanzo niliidharau lakini kwa Sasa naumiza Sana kichwa kuujua ukweli wa hili jambo.Kwa kuwa najua humu Kuna wenye ujuzi juu ya mambo mbalimbali naomba niwashirikishe hili kupata ushauri wenu.
Mara ya Kwanza nilipooa mke yule alikuwa anapandisha jini na yule jini ilifika siku aliomba nimsaidie kwani amefungwa na mchawi kwa kuwa anatoa Siri zake nyingi. Akaniagiza mishumaa 7 na baadh ya dawa na akaniagiza Cha kufanya.
Kweli nilifanya Ile kazi na nikamuogesha dawa akiwa amepanda kichwan kwa wife.hapo alishukuru Sana na akasema Sasa yupo huru duniani.
Mambo yakaanza sasa ikawa nikifanya mapenzi na mke wangu anakuja yeye kichwan nami namsugua kwelikweli aisee.
Cha kushangaza wife akiamka anakuwa hajui kabisa kama tumesex na hata uchi wake unakuwa Kama hajafanya kitu wakat unakuta imepigwa show Kali sana,nikajua nasex na yule jini.
Tufupishe story
Maisha haya yaliendelea na hata ikafika wakati maajabu yakaanza sasa.
Akaanza kunipigia simu kwa namba ya tigo 0659 .. ... .. anajitambulisha na ananiambia nipo hapa ufukweni nmetulia nikaona nikupgie,tunaongea na akikata simu muda huohuo nkpga hapatikan
Kuna siku Niko ndan akanipigia simu ananiambia nipo nje nikamkazia leo nataka nikuone akasema toka nje utanihisi Ila hutoweza kuniona kwa macho yako Basi nikatoka nje mbele yangu Kuna Baraza wamama kibao wamekaa
Ananiambia nipo hapa nakuona,nikamwambia acha kunizingua akaniambia ngoja nikuguse hili uamini Basi nikahisi mkono laini umenikamata begani nikageuka nyuma sion mtu Hapo nikahisi kuchanganyikiwa nikarud ndan fasta.
Maisha yakaenda mpaka nikatengana na yule mke kwa sababu zingine ambazo sikuweza kuzivumilia nikamuacha
MKE WA PILI
-Nikaoa Tena mke mwingine,huyu hakuwa na pepo Wala kibwengo chochote tukaishi Kama miez sita,baada ya Hapo Ile Hali ikarudi nikisex nae mara jini anaingia yeye na akiingia yeye namgonga kwelikweli mpk anaenjoy ananiaga anaondoka,wife akiamka anakuwa Kama yule wa mwanzo hajui lolote Wala anasema hatujafanya kitu na anakuwa na hamu zake vilevile Kama hajafanya kitu nampa haki yake tunalala.nikaja nikaachana nae baada ya kujua kufanya dhambi niliyoshindwa kumvumilia.
MKE WA TATU(aliyepo)
Baada ya kuoa haikuchukua muda Hali ileile ikarudi,juzi nimeamka asubuh Kila nikitaka kutoka home nilipatwa na usingiz mkali Sana ambao sijawahi patwa nikalala ghafla nikaota niko hotelini nasex na yule jini mpaka tukamaliza,kuamka wife akaniambia alikuwa ananitazama tu ninavokata mauno na kusikilizia utamu kitandani,nikamwambia Ni ndoto tu Ila Cha ajabu nilimwaga sperms lkn sikuona boxa Wala shuka kulowa.
Sasa maswali ninayojiuliza Ni haya
-huyu kiumbe Ni yuleyule au Ni mwingine?
-kama Ni yuleyule kwanini aning`ang`anie hivi
-Je naweza kufanya lipi nimuone live na nimgongege live?
Je naweza kumuendesha nitakavyo?
Wenye ujuzi angalau kidogo na mambo haya ya kiroho napokea ushauri wowote.
#Mshana na wengineo karibuni
Kama Mungu ...basi shetani anakutaka..ndio maana hilo Jini limekuganda....... na nakwambia huna mamlaka na majini...bali wao wanamalaka kwako..hivo kama unadhani utaliendesha..jua wewe ndio utaendeshwa ..kama gari bovu.usijetegemea kaa na ndoa..wake zako wote watasababishwa kufanya kitu usichoweza vumilia..ili uachana nae..kisha Jini atawale peke ake....na mwisho ujue utaishi nae peke ake.mm sijihusishi na mambo ya dini mkuu wangu