Msaada: Kila nikitongoza mwanamke naishiwa kutukanwa

Unamdanganya mtoa mada, mademu niliowapataga sikuwapa hata tsh 100 yangu, unaweza ukampeleka mdada dinner Hyatt regency au serena, halafu mwanaume Ukiomba busu, usiambulie hata busu, mie nliemwalika tu ghetto, napewa yote Na akiondoka hapewi hata nauli zaidi ya kusindikizwa, ewe mtoa mada huwezi nunua hisia za mwanamke kwa kumpa vijisenti vyako, kama hakupendi hakupendi tu, sanasana atakuigizia anakupenda, ili aendelee kukuvuna hela Hannah
 
Ukikutana na demu muombe namba ya simu ukishapata wewe kazi yako ni kutuma muamala mfululizo,baada ya wiki yeye ndio ataanza kukupigia simu na text.
Kifuatacho ni wewe kuchagua wapi kwa kunyandulia.
Jombaa mleta mada umetoka Koromije juzi kati au?
 
Review kamusi yako na ikibidi update vitamkwa pamoja na tafsida
 
Mtu akiwa hana hela hali mzigo?
 
Inategemea na unatongoza mademu gani. Hivyo, upo sahihi.
 
Kumbe yaani wee mtoa outing alafu usiombe mbususu atapagawa mwenye. Ila tatizo ukiwaza date ya maana ni laki, ukienda dates tatu tuu tayari mshahara umeisha.

Aise hizi mbususu tutaviona kupitia vpn
Ha ha ha ndiyo hivyo.
Wengine sisi hatunaga makuu, kitimoto nusu ndizi mbili, na Savannah nne au desperado. Dinner imefaana kabisa.

Kuna sehemu nyingi tu za hadhi na chakula cha 15-20 ni kizuri kabisa.
 
Ha ha ha ndiyo hivyo.
Wengine sisi hatunaga makuu, kitimoto nusu ndizi mbili, na Savannah nne au desperado. Dinner imefaana kabisa.

Kuna sehemu nyingi tu za hadhi na chakula cha 15-20 ni kizuri kabisa.
Savannah nne jamani hiyo sii tayari 15k kitimoto hapo tuweke kilo, haya bad sijui hela ya usafiri. Aisee kazi ipo.
Wacha niendelee kuwa mwanachama wa chaputa tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…