2018
JF-Expert Member
- Jan 1, 2018
- 546
- 779
Kabla hujaanza tendo shusha pumzi kwa nguvu,ondoa mawazo yote(relax ) jiamini kisha MPE condom mwenzi wako akuvalisheNdugu zangu poleni na majukum, Ndugu zangu nimekuwa na tatizo moja limenianza lina miezi miwili sasa tatizo lenyewe ni kuwa nimekuwa nikihitaji kumuingialia kimwili girl friend wangu nikivaaa tu condom mzeeee ana sinzia wakati kipindi cha nyuma haikuwa hivo limesababisha sasa hivi mzeeee anasimama nikitaka kuingia bila hata kuvaa condom anasinzia sasa ndugu zangu naombeni msaada juu ya tatizo langu hili.
Wakuuu nahitaji Sana ushauli wenu
Natanguliza shukrani zangu za zati