Msaada: Kila nikivaa condom uume unasinyaa

Msaada: Kila nikivaa condom uume unasinyaa

Ndugu zangu poleni na majukum, Ndugu zangu nimekuwa na tatizo moja limenianza lina miezi miwili sasa tatizo lenyewe ni kuwa nimekuwa nikihitaji kumuingialia kimwili girl friend wangu nikivaaa tu condom mzeeee ana sinzia wakati kipindi cha nyuma haikuwa hivo limesababisha sasa hivi mzeeee anasimama nikitaka kuingia bila hata kuvaa condom anasinzia sasa ndugu zangu naombeni msaada juu ya tatizo langu hili.

Wakuuu nahitaji Sana ushauli wenu

Natanguliza shukrani zangu za zati
Kabla hujaanza tendo shusha pumzi kwa nguvu,ondoa mawazo yote(relax ) jiamini kisha MPE condom mwenzi wako akuvalishe
 
Hata mbuzi kama hataki kula majani hayo usimpe sasa kicho kitendea kazi chako hakitaki condom piga kavu kavu sawa mkuu
 
usiogope mkuu,its just a Psychology effect, mara nyngi decent men yaan umezoea kupga dry kwa woman mnaeaminiana thn ikatokea situation ule uaminif na ao wanawake unatoweka inakubd upge na kinga,apomindset inakua haitulii, ukshka mashine kuivalisha, emotional issues unatoka mchezoni,kwa player apa anateleza 2,sekunde 2 kashachana na kuvaa kbs
 
OK,

1. Punguza kuangalia PORNO na kujichua....wale tunawaona wanaekti picha za ngono ni wasafi mno hivyo ukiwazoea wanakuwa hawafanani kabisa na uhalisia wa mwenza wako.

2. Punguza Pombe

3. Inawezekana maisha yamekupiga, usiwaze sana

4. KATUBU
 
Ndugu zangu poleni na majukum, Ndugu zangu nimekuwa na tatizo moja limenianza lina miezi miwili sasa tatizo lenyewe ni kuwa nimekuwa nikihitaji kumuingialia kimwili girl friend wangu nikivaaa tu condom mzeeee ana sinzia wakati kipindi cha nyuma haikuwa hivo limesababisha sasa hivi mzeeee anasimama nikitaka kuingia bila hata kuvaa condom anasinzia sasa ndugu zangu naombeni msaada juu ya tatizo langu hili.

Wakuuu nahitaji Sana ushauli wenu

Natanguliza shukrani zangu za zati
Binafsi ndio maana huwa ninapendelea kupima ukimwi kwanza kabla ya mambo mengine.
 
Oa ndugu ilo tatizo litakwisha, kipindi cha nyuma umewah kufanya mapenzi mara ngapi?
 
Ndugu zangu poleni na majukum, Ndugu zangu nimekuwa na tatizo moja limenianza lina miezi miwili sasa tatizo lenyewe ni kuwa nimekuwa nikihitaji kumuingialia kimwili girl friend wangu nikivaaa tu condom mzeeee ana sinzia wakati kipindi cha nyuma haikuwa hivo limesababisha sasa hivi mzeeee anasimama nikitaka kuingia bila hata kuvaa condom anasinzia sasa ndugu zangu naombeni msaada juu ya tatizo langu hili.

Wakuuu nahitaji Sana ushauli wenu

Natanguliza shukrani zangu za zati

Hua unajaribu 'Nyeto' ??

(Tuanzie hapo kwanza)
 
Huna tatizo lolote ni kuwa unapokuwa unavaa hizo condom huna imani na huyo partner wako, hii inasababisha kukutoa kwenye reli.
Fanya mapenzi na mtu unayemuamini tatizo hilo hutaliona.
 
Vikevile kua mlambaji mzuri wa asali+tangawizi na bila kusahau mbegu za maboga au uwatu
Sikujua kama uko vizuri kwenye sector ya afya.
Nadhani ww ni mdogo wake Mzizi Makavu.
[emoji106] [emoji106]
 
..... Block hiyo website ya www.xvideos.com haraka... Ndio tatizo linakusumbua. Pia punguza "chaputa"(isiache kbs kwani nayo ina umuhimu wake) tatizo litaisha.

Punguza msongo wa mawazo mzee kama huma stress
Kapime kisukari mzee

Punguza chaputa
Acha kuangalia porno
Acha uoga ukiingia pale mchezon
Jiamin

wacha nyeto mseng.e

Dawa ni hizi.

1. Acha wasiwasi wakati wa kazi.
2. Usikamie sana
3. Kula vizuri (punguza vyakula vya mafuta)
4. Piga mazoezi sana
5. Kunywa maji ya kutosha ie. Minimum kunywa lita tatu za maji daily.
6. Acha nyeto
7. Punguza/acha sigara na pombe.

NB: ukitaka kufurahia game kua mwana mazoezi tu.

OK,

1. Punguza kuangalia PORNO na kujichua....wale tunawaona wanaekti picha za ngono ni wasafi mno hivyo ukiwazoea wanakuwa hawafanani kabisa na uhalisia wa mwenza wako.

2. Punguza Pombe

3. Inawezekana maisha yamekupiga, usiwaze sana

4. KATUBU
kibovu majibu yako hapa!!

Niongezee tu, kama huna maandalizi mazuri, una uwoga basi usitarajie jamaa atasimama!!

Sometimes unaweza kuta hasimami kwa sababu unaepishwa na balaa litalo gharimu maisha yako!!
 
Kitu hyo hapo mkuu..mwisho wa tatizo lako
IMG-20180326-WA0028.jpg
 
kondom ni tatzo kubwa sana kwa hamu ya tendo na nguvu za kiume kwa ujumla,ndio maana matatzo ya nguvu za kiume sikuiz yamekuwa mengi kutokana na umuhim wa kutumia kondom uliopo kwa sasa,tatzo hilo mm binafsi niliwai kuwa nalo bt liliisha baada ya kuzpotezea kondom ingawa mm mwenzio nimeoa na ilinibd nipuguze na kuacha kbsa michepuko cz ndio yenye ulazma wa kuipga kwa kondom
 
Umewatenda G. Frnd wangap? .......... Kama wapo jitahd kuwoomba msamaha tatzo litaiisha
 
akili imefadhaika. hiyo kondom inakutosha? nahisi inapwaya ndio maana kinasinyaa
 
Atakuwa chini mahaba huyo ataki upge show za nje
 
Back
Top Bottom