Msaada kuhusu kusafirisha parcel kutoka Marekani

Naomba kusaidiwa na yeyote humu ambaye ni mzoefu wa kusafirisha percel kutoka Marekani kuja Tanzania ,KWA kutumia makampuni kama DHL na mengineyo hasa napenda kufahamu gharama za kusafirisha simu, ziko mbili kutoka Ohio Cleaveland kuja Tanzania

Upo bongo au upo Cavs?

Kama upo Cavs nenda ofisi ya karibu ya Fedex utapewa utaratibu...
 
Salaam wakuu.

Naomba kusaidiwa na yeyote humu ambaye ni mzoefu wa kusafirisha percel kutoka Marekani kuja Tanzania ,KWA kutumia makampuni kama DHL na mengineyo hasa napenda kufahamu gharama za kusafirisha simu, ziko mbili kutoka Ohio Cleaveland kuja Tanzania ina gharimu kiasi gani KWA uzoefu wako wa kusafirisha mizigo.

Pili, je unaweza kusafirisha Document bahasha Moja yenye karatasi 10, ukaichanganya na hizo simu 2 zikaja KWA pamoja?

Nauliza hivi maana wiki iliyopita nimetuma document huko huko zimefika jana, gharama tuliyotumia ni sh 138,000 KWA kutumia DHL...sasa nashangaa mtu niliyemtumia anasema eti kutuma hizo simu 2 KWA DHL ni dola 200! Na haiwezekani kutuma document na simu pamoja.

Naomba msaada KWA yeyote anayejua maana hata tulivyotuma document baada ya kuingiza data za mzigo kwenye system ya DHL walituonyesha bei sasa wewe ndio unachagua rahisi kwako...nashangaa hiyo dola 200 ni kweli kwa simu mbili?
Mbona kuna WaTz wengi tu kila siku wanasafiri kati ya nchi hizi. Huyo mtu wako hajuani na WaTz huko wakakubebea?
 
Tumia EMS service ya USPS.
Huwa natuma simu 10 kwenye box dogo, nazungusha tape box zima.
Kwenye customs declaration form naandika solar calculators au solar chargers.
Pia naandika USB type C wire chargers (kwa sababu zitascan wataona wires).
Utajaza mji na Telephone #. Zikifika baada ya 3-5 days watampigia simu.
Simu 10 average natumia 100$.
Zikifika Dar watachaji customs. but basically EMS ya USPS is the best option.
Kutuma simu 2 ni hasara inaweza ikawa hiyohiyo 100$.
 
Waone Silent ocean
 
Kama unasafirisha simu tena 2 hiyo gharama ni sawa kabisa, wanapiga uzito plus restrictions za kusafirisha hazardous goods. Simu moja inaweza kuwa na gram 240 mfano 14 pro max, So hapo pamoja na box weka gram 500 tu.
Ukichanganya na hizo karatasi bado itakuwa vile vile tu kwakuwa msafirishaji lazima ataj
Ok.
Waone Silent ocean
Wanasafirisha kutoka US to Bongo?
Tumia EMS service ya USPS.
Huwa natuma simu 10 kwenye box dogo, nazungusha tape box zima.
Kwenye customs declaration form naandika solar calculators au solar chargers.
Pia naandika USB type C wire chargers (kwa sababu zitascan wataona wires).
Utajaza mji na Telephone #. Zikifika baada ya 3-5 days watampigia simu.
Simu 10 average natumia 100$.
Zikifika Dar watachaji customs. but basically EMS ya USPS is the best option.
Kutuma simu 2 ni hasara inaweza ikawa hiyohiyo 100$.
Shukrani mkuu.
Usitumie Fedex, Tz hakuna Fedex Agent, kuna makanjanja
ok.
 
Mbona kuna WaTz wengi tu kila siku wanasafiri kati ya nchi hizi. Huyo mtu wako hajuani na WaTz huko wakakubebea?
WaTz Hakuna wa kuwaagiza.
 
Mzigo hutumwa kwa uzito. Ukipokea jua kabisa watakutoza kodi. Tumia EMS na uandae hela ya kutosha ya kodi. Siku hizi kodi ni kubwa zimeongezeka. .

DHL wasumbufu achana nao kabisa hawachelewi kukuimba document za ofisi mara invoice. Tumia EMS wewe utalipia na kubeba mzigo wako. .
 
Usitumie Fedex, Tz hakuna Fedex Agent, kuna makanjanja
Hehehe natumia FedEx mara nyingi sana na mostly mzigo wangu napata ndani ya siku 8, na delay inakuwa dar otherwise ingekuwa mapema zaidi. Anyway, labda ni upande wangu ila sijawahi kupata shida na FedEx neither DHL
 
Back
Top Bottom