Msaada kuhusu mbegu za nyanya

Kuhusu kukauka kiuno huo ni ugonjwa kuna wadudu wapo mashambani ndio wanaofanya hiyi kazi hasa kwenye mashamba ambayo yaliwahi kupandwa mazao mengine muda mfupi kabla ya kupanda nyanya.
 
Kuhusu kukauka kiuno....huo ni ugonjwa kuna wadudu wapo mashambani....ndio wanaofanya hiyi kazi...hasa kwenye mashamba ambayo yaliwahi kupandwa mazao mengine...muda mfupi kabla ya kupanda nyanya.
Huku kwetu ukitaka mbegu nzuri ni kuagiza kenya angalau wako na uhakika ,soko la mbegu kiujumla limevamiwa sijui labda huko uliko mkuu
 
Huku kwetu ukitaka mbegu nzuri ni kuagiza kenya angalau wako na uhakika ,soko la mbegu kiujumla limevamiwa sijui labda huko uliko mkuu
Kuna kampuni...nimeisahau jina...ila wapo...arusha mbegu zao ni za uhakika...mkuu..na Wanatoa maelekezo bure...
 
miche umenunua wapi, mmoja kiasi gani na ni ya aina gani ~asila, anna.. ?

Hapo nikiwa teyari nimesha ipanda miche...nilinunua mingi...kama 700 na usheee...naikakosa pa kuiweka kutokana na udogo wa eneo...pichani utaona imebanana kidogo...
 
hapo nikiwa namwagilizia...miche...hiyo ni siku moja baada ya kuipanda
 
Hilo jani litakuwa limepitiwa na kitu gani...?
 

Attachments

  • IMG_20170424_121409.jpg
    225.9 KB · Views: 171
Hilo jani litakuwa limepitiwa na kitu gani...?
Hapo ni leafminer ,dawa yenye abamectin / emamectin inammaliza so unaweza piga dynamec/biotrine/balton abamectin etc ila chukua original molecules pekee kama hizo nilizokutajia sio unachukua dawa lita moja inauzwa elf 10 hapo ni hamna kitu.
Pia kuna dawa inaitwa Evisect inammaliza huyo mdudu.
Dawa yenye abamectin piga muda jua likiwa sio kali maana ina asili ya spirit ikipigwa na jua kali inapotea hewani.
 
Asante sana mkuu sasa huyo mdudu kavutiwa na nini...au ni lazima tu angekuja?
 
Mbona unashaur pumba tena
 
Marafiki wa ukweli hao....ukiwatunza nao wanakutunza
 

Attachments

  • IMG_20170426_173705.jpg
    174.9 KB · Views: 179
Mkuu asante sana...leo nimeanza rasmi harakati za kuandaa shamba...ila ni kama ki bustani...kwa mbegu nimenunua miche ili kukimbizana na hali ya mvua iliyopo dar...kipindi hiki
Kwanini matuta umeyainua sana na ni membamba? Je kila tuta utapanda mistari mingapi? Utatumia njia gani kumwagilia?
 
Kuoza kiuno ni damping off ugonjwa wa kuvu ambao hutibika kwa kupulizia fungicides
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…