kisanganyakiswata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2014
- 1,299
- 552
Hizi nyanya zinamudagani toka unepandikiza mkuu naulipandikiza shimo moja kwa mche mmoja auUrea imenipa fundisho...nimepoteza zaidi ya miche 10
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi nyanya zinamudagani toka unepandikiza mkuu naulipandikiza shimo moja kwa mche mmoja auUrea imenipa fundisho...nimepoteza zaidi ya miche 10
Unapoweka mbolea hakikisha iko 10 cm toka shina la mmea, ardhi iwe na unyevu na fukia kila mbolea unayoiwekaUrea imenipa fundisho...nimepoteza zaidi ya miche 10
Kwahiyo mkuu hizi nyanya fupi hutushauri kuto kuzipunguza matawiZinazotolewa matawi ni nyanya fupi ambazo hurefu hazizidi mita 1.5 sasa kwa matunda huzaliwa kila baada ya cm15 au 20 (std) hivyo ukitoa matawi kwa mche wa kurefuka 1.5m inamaana itakua na vichane 6 tu ,ukiacha matawi inamaana kila tawi likikua vichane 6 ikiwa matawi manne tu unachane roughly 24,kila kichane kikiwa na matunda manne hapo ni matunda 96 (kg 12 roughly per plant)
Kwa nyanya ndefu inakua tu haina mwisho hivyo utavuna mpaka useme basi maana inafika mpaka mita 8 .
Kwahiyo mwenye nyanya fupi akitoa matawi kapunguza mavuno ila mwenye nyanya ndefu anatoa matawi abakiwe na moja au mawili atakayoeza kuyahudumia vyema .
Nyanya fupi inaitwa fupi sababu kuna urefu ikifika inaweka matunda ya mwisho
Sio kukushauri tu bali haitakiwiKwahiyo mkuu hizi nyanya fupi hutushauri kuto kuzipunguza matawi
Asante vip kwa uzoefu wako mwezi gani nioteshe kitalu ambacho ntakuja kuvuna mwezi gani ambao nyanya huwa diliSio kukushauri tu bali haitakiwi
Kilimo sio rahisi hivyo ndugu ,kila mtu kwa kufuata tu tarehe apate hela ,kikubwa tafuta soko kwanza kisha utazalisha kulingana na huko utakako uza wewe ,hapo kujipa utofauti na wengine ,soko ndilo la kumaanisha faida au hasaraAsante vip kwa uzoefu wako mwezi gani nioteshe kitalu ambacho ntakuja kuvuna mwezi gani ambao nyanya huwa dili
Nashukuru sana mkuuKilimo sio rahisi hivyo ndugu ,kila mtu kwa kufuata tu tarehe apate hela ,kikubwa tafuta soko kwanza kisha utazalisha kulingana na huko utakako uza wewe ,hapo kujipa utofauti na wengine ,soko ndilo la kumaanisha faida au hasara
Kila shimo niliweka mche mmoja...zina mwezi mmoja na siku 2 zimeshaanza kutoa vitumba ama mauaHizi nyanya zinamudagani toka unepandikiza mkuu naulipandikiza shimo moja kwa mche mmoja au
Naomba usaidie hivi kwenye udongo wa kichanga kabisa...kama ule wa baharini...nikijitahidi nikapata samadi nyingi naweza kupata mazao mazuri...maji yapo 24/7Kilimo sio rahisi hivyo ndugu ,kila mtu kwa kufuata tu tarehe apate hela ,kikubwa tafuta soko kwanza kisha utazalisha kulingana na huko utakako uza wewe ,hapo kujipa utofauti na wengine ,soko ndilo la kumaanisha faida au hasara
Kama unaweza pata samadi kiasi cha ndoo moja kwa sqm 1 yaani unapana mita 1 na urefu mita 1 inatosha kabisa kukupa mazao bora pia kuupa udongo wako uwezo wa kutunza maji ,kama huwezi pata samadi kiasi hiko basi weka kiasi ulichonacho na utumie na mbolea za kiwandaniNaomba usaidie hivi kwenye udongo wa kichanga kabisa...kama ule wa baharini...nikijitahidi nikapata samadi nyingi naweza kupata mazao mazuri...maji yapo 24/7
Kila lakheri tuendele kujuzanaKila shimo niliweka mche mmoja...zina mwezi mmoja na siku 2 zimeshaanza kutoa vitumba ama maua
Asante...ila kaka kwenye hii bustani yangu baadhi ya vitumba vinavyoleta maua kimoja kina kauka...siju tatizo ninini hapoKama unaweza pata samadi kiasi cha ndoo moja kwa sqm 1 yaani unapana mita 1 na urefu mita 1 inatosha kabisa kukupa mazao bora pia kuupa udongo wako uwezo wa kutunza maji ,kama huwezi pata samadi kiasi hiko basi weka kiasi ulichonacho na utumie na mbolea za kiwandani
Asante karibu sanaKila lakheri tuendele kujuzana
Hii mbegu ni ile inayotambaa chini¿ mbona hujaiwekea egemeo?
Mkuu hi nyanya yajama yangu ananiomba tumsaidie vikonyo vinaoza analimia iringa tatizo nini natiba yake ni ipi plz
Unaweza tuma picha inaweza kua ukosefu wa madini hususani ya calcium ,maji machache ,wadudu (thrips) au ukungu picha kidogo itanipa mwanga ila je umeweka can? Unanyesha vyema? Umepiga dawa gani ya wadudu !? Umepiga dawa za ukungu zenye kiuatilifu cha azoxystrobin/difenoconazole/propamocarb etc yaani tofauti na mancozeb na metalaxyl ?Asante...ila kaka kwenye hii bustani yangu baadhi ya vitumba vinavyoleta maua kimoja kina kauka...siju tatizo ninini hapo
Hii nyanya imepigwa na bright (ukungu) ,kwann hujafungia !?
Unaweza tuma picha inaweza kua ukosefu wa madini hususani ya calcium ,maji machache ,wadudu (thrips) au ukungu picha kidogo itanipa mwanga ila je umeweka can? Unanyesha vyema? Umepiga dawa gani ya wadudu !? Umepiga dawa za ukungu zenye kiuatilifu cha azoxystrobin/difenoconazole/propamocarb etc yaani tofauti na mancozeb na metalaxyl ?