Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijapima mkuu...kuna dr mmoja niliwai kumuuliza kuhusu life span ya Mtu mwenye kansa ya koo ambaye bado ajawa diagnosed akasema miezi 5 kufika ni ngumu lazima hali yake itakuwa mbaya but ayo ni maoni yake lakini mimi nitafanya kama ulivyoshauri..Kansa umepima?
Shukrani mkuuPole sana.
Ninakushauri uende hosipitali kubwa zenye wataalam bingwa wa mambo ya ENT ili uangaliwe kwa makini na kupata tiba sahihi.
Hili nalo muhimu kucheki saratani ya koo kwa oncologist.Kansa umepima?
Vyakula vya kawaida mkuu jamii ya wanga..ugali,waliYaweza kuwa acid inazidi tumboni, unakula aina gani ya vyakula mara kwa mara?
Asante mkuu unaweza Kushare dawa au mbinu uliyotumia mpaka ukapona1.Wewe ni kiwanda cha acid kinachotembea.
Kiwanda kipo tumboni kinatoa nnje kikimaliza kuproduce ndy kasheshe zinaanza hizo...
Nenda hospital watakupa ant acid upate vipimo kwanza ndy ujue tatizoAsante mkuu unaweza Kushare dawa au mbinu uliyotumia mpaka ukapona
Shukrani mkuuNenda hospital watakupa ant acid upate vipimo kwanza ndy ujue tatizo
MAPENZI UCHIZIJe ulikuwa na ule mchezo wa kuzama kwenye Tope la Hanang? Kuzamia yaani kwa mdomo?
Amka asubuhi saa kumi na Moja au kumi na mbili,,chukua kopo safi kubwa hata maji la uhai au Kilimanjaro,kojoa mkojo wa Asubuhi ule halafu kunywa wote!au glass Moja!rudia process kwa siku saba!!Nilishapima zaidi ya mara 5 negative
Mmmmh mbona hatarii hiiAmka asubuhi saa kumi na Moja au kumi na mbili,,chukua kopo safi kubwa hata maji la uhai au Kilimanjaro,kojoa mkojo wa Asubuhi ule halafu kunywa wote!au glass Moja!rudia process kwa siku saba!!
Utanishukuru baadae!!
Wadudu au kemikali inayoshambulia mfumo wa mmeng'enyo wa chakula watakufa na kemikali kama hydrogen chloride gass inayosababisha kiungulia itatoweka!!
Jaribu!
"If there is nothing we can do,let's try an alternative"! Bern carson,an expert in hemispherectomy and neuro-surgeon doctor!
Wewe ni mzima huna tatizo lolote linalokusumbua ndio mahana unakumbuka mpaka kuweka spelling sawaKuhuma❌
Kuuma✅
Habari yako Mkuu?Pole kwa maradhi ya koo kuuma nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.Habari ndugu zangu wa JF ..kama heading inavyojieleza naomba msaada wenu kwa ushauri najua JF ina kila aina ya watu nimeamua Nije apa kwakuwa nina amini hii ni nyumba ya kila kitu.
Tatizo langu la koo kuhuma lilianza takribani miezi 6 iliyopita..Nilianza kusikia maumivu ninapomeza chakula,shida kumeza mpaka nisukumie na maji hiyo condition ilienda kama siku 5 baadae ikatoweka. Nikaanza kusikia kitu kama kimekwama kooni ila nikikimeza akimezeki nayo ikaa kama wiki1 then ikaondoka iyo hali.
Nilienda hospitali nikaonana na Dokta nilivyomuelezea akaniandikia dawa za kumeza moja wapo ni Ampliclox nikatumia mpaka zikaisha lakini tatizo linaenda na kurudi mpaka muda huu ninaleta thread apa limekuja tatizo lingine ambalo ni kupaliwa yani nikiongea kama dk1 ivi lazima nipaliwe.
Koo bado linauma na nikiongea au kukaa tu hali ya kupaliwa uja ghafla naomba msaada wenu wa ushauri na mawazo nini cha kufanya ili nijue kinachonisibu ..Asanteni..naomba mnisamehe kwa thread ndefu..
Mmmmh mbona hatarii hii
Mkuu umepiga pebyewe,aanze na ratizo la asidi,nimewahi pata hali hiyoYaweza kuwa acid inazidi tumboni, unakula aina gani ya vyakula mara kwa mara?