Vonzelewsk
Member
- Sep 20, 2018
- 55
- 70
- Thread starter
- #41
Sawa mkuuHabari yako Mkuu?Pole kwa maradhi ya koo kuuma nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuuHabari yako Mkuu?Pole kwa maradhi ya koo kuuma nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
Asante mkuuMkuu umepiga pebyewe,aanze na ratizo la asidi,nimewahi pata hali hiyo
Huo ni uvimbe maeneo hayo,,,,ila wengi wanaopitia hali hii wamedanganywa na madokta uchwara wanawambia eti ni Acid inawasumbua,,,bas hao wagonjwa hawashauriki kwa kingineHabari ndugu zangu wa JF ..kama heading inavyojieleza naomba msaada wenu kwa ushauri najua JF ina kila aina ya watu nimeamua Nije apa kwakuwa nina amini hii ni nyumba ya kila kitu.
Tatizo langu la koo kuhuma lilianza takribani miezi 6 iliyopita..Nilianza kusikia maumivu ninapomeza chakula,shida kumeza mpaka nisukumie na maji hiyo condition ilienda kama siku 5 baadae ikatoweka. Nikaanza kusikia kitu kama kimekwama kooni ila nikikimeza akimezeki nayo ikaa kama wiki1 then ikaondoka iyo hali.
Nilienda hospitali nikaonana na Dokta nilivyomuelezea akaniandikia dawa za kumeza moja wapo ni Ampliclox nikatumia mpaka zikaisha lakini tatizo linaenda na kurudi mpaka muda huu ninaleta thread apa limekuja tatizo lingine ambalo ni kupaliwa yani nikiongea kama dk1 ivi lazima nipaliwe.
Koo bado linauma na nikiongea au kukaa tu hali ya kupaliwa uja ghafla naomba msaada wenu wa ushauri na mawazo nini cha kufanya ili nijue kinachonisibu ..Asanteni..naomba mnisamehe kwa thread ndefu..

Vp ulipona tatizo lakoHabari ndugu zangu wa JF ..kama heading inavyojieleza naomba msaada wenu kwa ushauri najua JF ina kila aina ya watu nimeamua Nije apa kwakuwa nina amini hii ni nyumba ya kila kitu.