Msaada kuhusu tatizo la koo kuhuma (persistent sore throat)

Huo ni uvimbe maeneo hayo,,,,ila wengi wanaopitia hali hii wamedanganywa na madokta uchwara wanawambia eti ni Acid inawasumbua,,,bas hao wagonjwa hawashauriki kwa kingine
 
Huo ni uvimbe maeneo hayo,,,,ila wengi wanaopitia hali hii wamedanganywa na madokta uchwara wanawambia eti ni Acid inawasumbua,,,bas hao wagonjwa hawashauriki kwa kingine
 
Fika kwa daktari wa koo...

Huenda ukawa na shida ya acid reflux tu
 
Vp ulipona tatizo lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…