Msaada: Kuondoa utelezi maji ya mvua

Msaada: Kuondoa utelezi maji ya mvua

Mvua inaposhuka hukutana na gesi nyingi angani hivyo zinajichanganya kwa kiasi fulani kwenye tone la maji......

Sasa tupo kwenye peak ya uchafuzi wa mazingira hususan hewa za sumu kutoka viwandani na mashine za kila siku.

Ni hayo tu mkuu
Maji ya mvua yanaweza kuwa salama kuliko hayo ya bomba. Umewahi fuatilia mfumo wa mabomba ya maji yanapotoka mpaka yanapokufikia. Yanakatiza huko kwenye jalala, mitaro n.k. Vipi kuhusu vyanzo vya hayo maji, mfano kanda ya ziwa wanayatoa ziwa victoria ambalo ndo dumping site ya nchi zinazozunguka hilo ziwa. Mengine yanatolewa kwenye mito ambayo pembezoni kunashughuli za kilimo ambazo wanatumia sumu za kila aina. So hatari ya maji ya mvua yaweza kuwa ndogo kuliko hayo ya bomba. Maji ya mvua yanaweza chafuka iwapo bati lako ni chafu au linakutu. Hizo acids sidhani kama zinaishu sana coz tunazinywa ata kwemye soda na kachumbari.
 
Watu wabishi Sana
 
Siyo wabongo bos ni hatujui, mi ndo nimejua leo kuna maji laini na kuna kuweka chumvi.
Nina swali mfano maji lita 3000 chumvi naweka kiasi gani?
Kwenye chemistry hujasoma kuhusu hard water [emoji97]?
 
Hivi kuna taarifa yoyotebkutoka dawasco kuhusu hili tatizo ka maji? Inatuumiza sana hasa sisi tusio na reserve water
 
maji ya mvua yakitekwe vyema na kuhifadhiwa kwa ustadi wala haya hatari kuyanywa ukilinganisha na haya ya bomba
Exactly [emoji1666] [emoji1666] majuzi nilikuwa shamba, nikaishiwa maji ya chupa zile chupa kubwa za 10 lts... Kijiji kizima maji ya bomba hayatoi maji, wanaenda kuchota kwenye visima vyenye maji machafu sana na mvua zinanyesha. Baada ya mvua kunyesha kutwa nzima na kuhakikisha bati liko safi nikakinga maji ya mvua na kuyahifadhi kwenye madumu masafi yenye mfuniko. Nimetumia fresh kabisa kunywa na kuogea..
 
Wakuu, kutokana na maji ya bomba ya dawasa kutoka kwa muda wa lisaa limoja tu kwa kila miezi 3, nimeona nihifadhi maji ya mvua

Tatizo yana utelezi fulani mwilini mimi napooga, je njia rahisi ya kuondoa huo utelezi ni ipi? Msaada tafadhali.
Cc. @Malaria_Sugu
 
Labda mazoea.

Mi natumia maji ya mvua zaidi ya miaka 12, sioni shida.

Navuna kwenye kisima na kupandisha juu kwenye tenki kisha hushuka chini kwenye mabomba.

Familia haijawahi pata magonjwa yoyote

Nakunywa lakini nachemsha, na kufanyia kila kila kitu.

Yakija ya bomba wakati wa kiangazi, huwa naona kama yana chumvi....magumu, huwa siyapendi.

Mara chache huweka water guard kwenye kisima.
[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Vipi wananchi nao, wana upeo? Viongozi wanatokana na wananchi, wananchi kama wana upeo, wangeweza kuwashawishi viongozi wasio na upeo wafanye mambo kwa mantiki.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Nimetoa mfano hapo juu kwamba kijiji kizima hakina maji ya bomba, lakini huko nyuma mfumo wa maji uliotengenezwa kwa kujenga tenki na mitandao ya mabomba, haufanyi kazi sababu ya uongozi mbovu. Hivyo wananchi wanatumia maji ya kisima ambayo ni machafu sana na pia hata maji ya mvua hawataki kuyakinga...
 
Watu wabishi Sana
Ingia website ujifunze zaidi..
Screenshot_20240121-224800.jpg
 
Mvua inaposhuka hukutana na gesi nyingi angani hivyo zinajichanganya kwa kiasi fulani kwenye tone la maji......

Sasa tupo kwenye peak ya uchafuzi wa mazingira hususan hewa za sumu kutoka viwandani na mashine za kila siku.

Ni hayo tu mkuu
wanaoishi vijijini uchafuzi wa hewa unatoka wapi na viwanda hamna,ni miti tu na milima.
 
Back
Top Bottom