Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Wakuu, kutokana na maji ya bomba ya dawasa kutoka kwa muda wa lisaa limoja tu kwa kila miezi 3, nimeona nihifadhi maji ya mvua
Tatizo yana utelezi fulani mwilini mimi napooga, je njia rahisi ya kuondoa huo utelezi ni ipi? Msaada tafadhali.
Siku nyingine usitumie neno UTELEZI
you know what I mean