Wakuu, kutokana na maji ya bomba ya dawasa kutoka kwa muda wa lisaa limoja tu kwa kila miezi 3, nimeona nihifadhi maji ya mvua
Tatizo yana utelezi fulani mwilini mimi napooga, je njia rahisi ya kuondoa huo utelezi ni ipi? Msaada tafadhali.
Kama yana utelezi hayana shida muhimu haunywi mwapikia tuWakuu, kutokana na maji ya bomba ya dawasa kutoka kwa muda wa lisaa limoja tu kwa kila miezi 3, nimeona nihifadhi maji ya mvua
Tatizo yana utelezi fulani mwilini mimi napooga, je njia rahisi ya kuondoa huo utelezi ni ipi? Msaada tafadhali.
pia kwenye hewa kuna chembechembe ndogo sana za plastiki zinaitwa microplastic mvua inaponyesha zinachanganyika na maji ya mvua ndo maana hayatakiwa ktumika kunywa, zinasababisha kansa, mvurugiko wa homoni nk.Mvua inaposhuka hukutana na gesi nyingi angani hivyo zinajichanganya kwa kiasi fulani kwenye tone la maji......
Sasa tupo kwenye peak ya uchafuzi wa mazingira hususan hewa za sumu kutoka viwandani na mashine za kila siku.
Ni hayo tu mkuu
Toa sababu za kitaalam na kiafya, navona maji ya mvua for years hata siku moja hakuna aliyeumwa kwa sababu ya maji.We Kama ni strong sawa. Upo sahihi Ila maji ya mvua sio salama kwa kunywa labda kuogea na kufua
juu ya tank unaweka mfuniko kwa ajili ya kuchotaHabari mkuu.
Unaposema mwanga na hewa isiingie huoni si sahii? Je tank linapumulia wapi? Maana linapojaa bila kuruhusu yamwagike lazima utasababisha tank kupasuka.
Tundu kidogo kwa ajili ya overflow ni muhimu. Muhimu ni kutoacha sehemu kubwa kwa ajili ya mwanga na hewa.
Ila usiseme mwanga na hewa visiingie.
Asante.
Hapana hayana gas. Mgandamizo mkubwa wa maji hupasua tank. Liquid, gas, solid is just a state and anything in excess can cause fartality.juu ya tank unaweka mfuniko kwa ajili ya kuchota
maji yana gas kwani? mpaka ipasuke
kuoga mkuu,inakuwa shidaKama yana utelezi hayana shida muhimu haunywi mwapikia tu
kijana wa hovyo weweSiku nyingine usitumie neno UTELEZI
you know what I mean
hewa tu ipo njia ya napoingilia na yanapozid humwagikia ndo inatosha kwa ajili ya hewaHapana hayana gas. Mgandamizo mkubwa wa maji hupasua tank. Liquid, gas, solid is just a state and anything in excess can cause fartality.
Mfuniko wa tank nao si unaingiza hewa na mwanga?
pls naomba unicheck pmSiyo wabongo bos ni hatujui, mi ndo nimejua leo kuna maji laini na kuna kuweka chumvi.
Nina swali mfano maji lita 3000 chumvi naweka kiasi gani?