Msaada kwa Godzilla, ana hali mbaya

Msaada kwa Godzilla, ana hali mbaya

Presha ilishuka na sukari ilipanda chanzo cha kifo chake, muacheni apumzike kwa amani msianze kuchokonoa angalau safari yake ameimaliza tena very peaceful hatujui sisi tutakufaje,
Kifo cha kutapa tapa kwenye maji,
Kifo cha kuungua na moto,
Kifo cha risasi,
Kifo cha kunyongwa,
Kifo cha kuumwa hadi unatoka mkia,
Kifo cha kugongwa na Scania na kupondeka pondeka,
Kifo, Kifo, Kifo.....

Only God Knows.
Afadhali kifo cha kupitiliza ukiwa usingizini, kifo chenyewe ni mateso tosha sasa imagine yaongezeke na maumivu mengine ya moto[emoji22]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji121][emoji121]
FB_IMG_15500474548281418.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom