Msaada kwa Godzilla, ana hali mbaya

Msaada kwa Godzilla, ana hali mbaya

Msanii Godzilla anapitia kipindi kigumu sana baada ya kuachana na mpenzi wake Doreen.

Kwa sasa Zilla amekuwa haeleweki anaongea nini na muda mwingi amekuwa anaongea mwenyewe na au kujifungia ndani.

Ni dhahiri penzi la Doreen bado analiitaji na anapata mateso mazito sana kuwa na maisha bila Doreen.

Yeyote anaeweza msaidia huyu mnyamwezi atoe msaada haswa wa kisaikolojia. Kazi ya muziki imekuwa haiendi kwa kifupi amedata.

Note: Wanaume mapenzi hayana ubaunsa wala ubabe. Ukishikwa kubali umeshikwa la sivyo utapata shida sana.

2594d458150686f201e6548f4226b2b5.jpg

edf6224b4976193d91f1deb4cb264a9a.jpg

fb9bbea0fba6bfea66d35e670d1abd71.jpg
Mwambieni atafute Hela huyo mtoto atarud tu
 
Mleta mada unamfanyia promo huyo jamaa au!? Manake hadi umweka tweet zake lakini sijaona tweet hata moja inayotoa taswira ya huyo jamaa kuwa ktk hali mbaya sana.
 
Anajua yeye alichokuwa anakifurahia kwa huyo dada, acheni mapenzi yaitwe mapenzi
Hakuna kitu kizuri kama kuwa na mdada dizaini ya Doreen yaani anajua vitu vingi na ni MTU wa furaha DAT I want from my girl sio unakuwa na demu kama flani lakini anajua watu wa bongo movie tu huo ujuha
 
Hahaaa!!!!
Yaa..mkuu...ukiwa na pesa automatically mwanamke hakusumbuwi...wewe ukiona JAMAA ana pesa na bado mwanamke anamsumbuwa.. Aisee.. Huyo jamaa ana matatizo makubwa tu....tena ya KIBAMIA..sio bure...na akina dada wakishajuwa tu BALANCE HAISOMI vzr...anaanza VIROJA....dawa yake huyo Godzila ni kutoa ngoma mpya tu... Tena iwe [emoji91]... Utaona km bibie hajarudi...
 
Hahaa,!!! Naamin Godzilla nae atakua anasoma huu uzi
 
Hahaa,!!! Naamin Godzilla nae atakua anasoma huu uzi
Yaa...dawa ya mapenzi ni uwezo on [emoji91] tu..sababu ukiwa na pesa mwanamke anajuwa muda wowote utamwacha na kupata mkali kuliko yeye...ww jiulize hata kwa mganga wateja wao asilimia 90 ni wanawake.. Na hao wanawake 90% ya matatizo yao ni mapenzi..kuhusu kupendwa na wanaume... Sasa jiulize anayerogwa pale ni mwanaume wa aina gani?sio wale wanaombwa 4000 mwezi mzima tunasumbuwa..mara umezima simu....mara hupokei simu zake.kisa 4000 tu...ni wale wanaume... Mwanamke akisema tu hata laki... Muda huo huo anapewa..kwhyo wanaorogwa ni wale wenye uwezo..hivyo utakubaliana na mm kwamba PESA ndy uchawi wa mwanamke..
 
Back
Top Bottom