Msaada kwa Godzilla, ana hali mbaya

Msaada kwa Godzilla, ana hali mbaya

Zizi..... 50 cent wa bongo..... teh teh.... Zizi baba kapige drugs kusawazisha stress....
DNDEEE.PNG
 
Ahhahaaaaa wanaume mna mioyo migumu sana kny mapenzi.

Mimi ndugu yangu katoka kulizwa jana
Aisee mpe pole.
Kupenda raha lkn kila mtu anapaswa kuwa na kiasi sio unadondokea mpaka na pua kabisa.
 
Unatishia eeeeh. Ngojea [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahaha
kwa kweli mi stakubali, ila sita andika mambo ya ajab twitter waka jf.
sasa Zillah mpaka watu inebid waende kwa mama ake awasaide kumtuliza si mchezo
 
Ahahaaaaa itakua na wewe ni mmoja wapo mlioenda kwa kina zilla. Mapenzi yanarun dunia au sio
 
hahahaha
mie sija entertine udhaifu huo kabsa.
sasa bora Zillah mama ake ako hapa hapa Dar, we ukinifanyia hivo na unajua mama angu alipo mpaka watu wapande mabas wakamfuate si tabu hiyo jaman!
 
Washkaji watasaidia tu.
Lkn hayo mambo hayana mwenyewe especially kwa wanaume. Km mtu hajalia mwanzo atalia mbeleni
 
ki ukweli unaweza kuumia kwa mapenzi lakin ku loose kabisa kana bwana zillah kwa mtoto wa kiume haitakiwi unajikaza kisabu unaumia ndani kwa ndani
 
Ukijikaza kwa ndani ndo mwanzo wa kupata pressure bora useme tu upate relief [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hapana
mimi naonaga mtu kama ka amua kuondoka, hutakiwi ku mourn, piha moyo konde endelea na maisha
yataisha kabsa haya
 
Back
Top Bottom