Msaada kwa Godzilla, ana hali mbaya

Msaada kwa Godzilla, ana hali mbaya

Zizi..... 50 cent wa bongo..... teh teh.... Zizi baba kapige drugs kusawazisha stress....
DNDEEE.PNG
Jamaa naona alitumia ushauri wangu vizuri...
 
Presha ilishuka na sukari ilipanda chanzo cha kifo chake, muacheni apumzike kwa amani msianze kuchokonoa angalau safari yake ameimaliza tena very peaceful hatujui sisi tutakufaje,
Kifo cha kutapa tapa kwenye maji,
Kifo cha kuungua na moto,
Kifo cha risasi,
Kifo cha kunyongwa,
Kifo cha kuumwa hadi unatoka mkia,
Kifo cha kugongwa na Scania na kupondeka pondeka,
Kifo, Kifo, Kifo.....

Only God Knows.
 
Back
Top Bottom