Msaada kwa Godzilla, ana hali mbaya

Eti mtaani wanaishi kama maninja....................
 
NB
Love is beyond the beauty, its a power comes from inside.
 
kuna shangingi moja linapenda wasanii lilishaniambia huyo Godzilla michezo yake kama kina kibakuli na mr misifa kupenda kula tigo,nahisi huyo demu atakuwa analiwa ndogo ndo maana jamaa linalia ,limemiss kiboga
Unataka kunambia kidoti alikuwa anachezea tigo
 
Mkuu inaonesha wewe ni mtu wake wa karibu, basi ungempa msaada
 
Arudie chaka lake la zamani pale chuo aliposoma Cbe alafu aache ujinga aka klie ile sup moja na Mungu ambariki[emoji100] [emoji97] [emoji42]
 
Mkuu inaonesha wewe ni mtu wake wa karibu, basi ungempa msaada
Mdogo wetu huyo niliwahi mshauri namna anavyodili na mainstream akazingua mpk kuniunfollow . But kuna watu wameenda kuongea na bi mkubwa wake namna ya kumsaidia nimeskia vijiweni. Maybe atakaa sawa.
 
Mdogo wetu huyo niliwahi mshauri namna anavyodili na mainstream akazingua mpk kuniunfollow . But kuna watu wameenda kuongea na bi mkubwa wake namna ya kumsaidia nimeskia vijiweni. Maybe atakaa sawa.
Ni kweli jamaa nilikutana nae juzi kati katoka kununua mkate dukani, hakuwa sawa kabisa, nilishangaa kwanza kapungua kinoma swagga zote kushnei

Ukweli jamaa hana ujanja wowote kwa watoto wazuri, unaweza sema labda ni hip hop ila ni udomo zege tuu, sasa kwa love aliyopewa na mtt lazima adate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…