Msaada kwa Godzilla, ana hali mbaya

Msaada kwa Godzilla, ana hali mbaya

UN WALISHASEMA KUWA MPWEKE AU SINGLE NI KILEMA! haya wadada msaidianeni kumuondoa kwenye kilema cha upweke + stress alizonazo sasa....
 
mbona dem mwenyewe wakawaida sana,Hata magotini hanifikii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
hivi huyo zilla hajui kuwa hamuwezi kuishi milele
Mkuu tupiamo walau tupicha tumoja tufanye comparison.
Alafu kama kupenda ingekuwa sababu ya uzuri wa nje basi wengi wangekosa wenza.love is more about how he/she makes u feel than how the person looks,sababu hata uwe mzuri vipi in the long run utachuja tu.
 
Jinsi alivyooo.. [emoji445] [emoji445] [emoji443]
 
daaah huyu jamaa nimemuona juz kwenye kagroccery flan hv huko mbez beach ako performa... ni kwel jamaa kachoka aisee wala sio siri
 
Kumbuka mke c nduguyo mke ni Rafiki tu mlikutana ukubwani hivyo ni mkubwa mwenzio toa gambe weka gambe kijana wa kiume stress za nn
 
Mkuu tupiamo walau tupicha tumoja tufanye comparison.
Alafu kama kupenda ingekuwa sababu ya uzuri wa nje basi wengi wangekosa wenza.love is more about how he/she makes u feel than how the person looks,sababu hata uwe mzuri vipi in the long run utachuja tu.
[emoji125][emoji125][emoji125]mapenzi tabia
 
Huu ni sawa na ulimbukeni, kwani Zilla ni mj1nga hajui kuwa lenye mwanzo lina mwisho?!! Aache uf@la atafute mwingine mbona wapo wengi tu tens wakali kuliko Hugo??!
Tatizo sio ukali! Mapenzi hayaangalii sura ingekua hivyo Remmy Ongala asingeoa!
 
Back
Top Bottom