Nyaka-One
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 4,730
- 6,736
Wadau naomba kwa mwenye kujua anifahamishe jina la band na wimbo wenye maneno haya:
..... Azimio la Arusha lilipotangazwa Tanzania, Nyerere alitembea kutoka Butiama mpaka Mwanza.
Juhudi za Mwalimu na watanzania wote, haikupita miaka mingi tukatoka utumwani....
Ni wimbo wa miaka mingi ulioimbwa mara muda mfupi baada ya Nyerere kutangazs Azimio la Arusha.