kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 516
- 905
Unajenga mkuu, na kisima Cha kuwauzia majirani maji unachimba.Wakuu hivi milioni 26 za kitanzania unaweza kujenga nyumba na ikaisha kabisa full kwa ajili ya kuhamia kuishi?
Labda kwa ajili ya familia sio majirani sipendi majiraniUnajenga mkuu, na kisima Cha kuwauzia majirani maji unachimba.
Mkoa wa pwani au dar mkuuKwanza ungesema unataka kujengea mkoa gani??
Maana umeulza swali kana kwamba wote tunajua unataka kujenga mkoa gani
Ujenzi wa nyumba unategemea mahitaji binafsi. Ila nyumba zetu hizi za kawaida kwa pesa hiyo unajenga na kuhamia.Wakuu.
Hivi kwa milioni 26 za Kitanzania unaweza kujenga nyumba ya vyumba viwili, sitting room, jiko na choo na ikaisha kabisa full kwa ajili ya kuhamia kuishi?
Mkuu kwa hio 26M kwanin usijenge tu nyumba ya vyumba vitatu, dining na sebule,
Haitaisha ila utamaliza kila kitu eg, cha msingi na utahamia ila haitakuwa na fence, rangi nje, pavement, ila ndani ya miaka mitatu unakuwa umekamilisha everything,
And kukujibu swali lako mkuu, ndio unahamia vema kabisa
Hizi estimates kwa kweli huwa zinatuchanganya wengi wetu nadhani. Maana nimeshauliza swali kama hili la kujenga nyumba ya vyumba vitatu kwa baadhi ya jamaa na marafiki, ila quotations nazopata zina range kwenye million 50 mpaka million 100, kutokana na finishing. Hii ni mpaka kuhamia - na ni kwa ujenzi wa mpakani mwa Dar na Bagamoyo. Sasa naona huku majibu mengi wanasema unaweza jenga kwa millioni 26 nyumba ya 2 bedrooms kwa Dar au Pwani na hukamia kabisa. Very confusing. Inakuwa ngumu mtu kujipanga. Maana unaweza kujipanga kwa Million 30 ukajua itatosha, kumbe bado kabisa, au ikatosha na chenji kubaki. Waliojenga for real, nyumba zenu zimewagharimu kiasi gani mpaka kuhamia? 3-bedroms, at least one master suite, spacious living and dining rooms. Jikoni na stoo ya jikoni. Na baraza nje mlando wa mbele. Nitawashakuru kwa ushauri wa uhakika. Maana wengine ndiyo tunajipanga. Nina 38 million tayariWakuu.
Hivi kwa milioni 26 za Kitanzania unaweza kujenga nyumba ya vyumba viwili, sitting room, jiko na choo na ikaisha kabisa full kwa ajili ya kuhamia kuishi?
Kwa hiyo pesa unahamia,Hizi estimates kwa kweli huwa zinatuchanganya wengi wetu nadhani. Maana nimeshauliza swali kama hili la kujenga nyumba ya vyumba vitatu kwa baadhi ya jamaa na marafiki, ila quotations nazopata zina range kwenye million 50 mpaka million 100, kutokana na finishing. Hii ni mpaka kuhamia - na ni kwa ujenzi wa mpakani mwa Dar na Bagamoyo. Sasa naona huku majibu mengi wanasema unaweza jenga kwa millioni 26 nyumba ya 2 bedrooms kwa Dar au Pwani na hukamia kabisa. Very confusing. Inakuwa ngumu mtu kujipanga. Maana unaweza kujipanga kwa Million 30 ukajua itatosha, kumbe bado kabisa, au ikatosha na chenji kubaki. Waliojenga for real, nyumba zenu zimewagharimu kiasi gani mpaka kuhamia? 3-bedroms, at least one master suite, spacious living and dining rooms. Jikoni na stoo ya jikoni. Na baraza nje mlando wa mbele. Nitawashakuru kwa ushauri wa uhakika. Maana wengine ndiyo tunajipanga. Nina 38 million tayari
50ml kiroho safi unahamia. Ila kwa uzoefu wangu anza na hela uliyonayo. Ukisubiri makadirio hautajenga kwani hata upewe BOQ na watalamu wa ujenzi bado ni makisio tu.Hizi estimates kwa kweli huwa zinatuchanganya wengi wetu nadhani. Maana nimeshauliza swali kama hili la kujenga nyumba ya vyumba vitatu kwa baadhi ya jamaa na marafiki, ila quotations nazopata zina range kwenye million 50 mpaka million 100, kutokana na finishing. Hii ni mpaka kuhamia - na ni kwa ujenzi wa mpakani mwa Dar na Bagamoyo. Sasa naona huku majibu mengi wanasema unaweza jenga kwa millioni 26 nyumba ya 2 bedrooms kwa Dar au Pwani na hukamia kabisa. Very confusing. Inakuwa ngumu mtu kujipanga. Maana unaweza kujipanga kwa Million 30 ukajua itatosha, kumbe bado kabisa, au ikatosha na chenji kubaki. Waliojenga for real, nyumba zenu zimewagharimu kiasi gani mpaka kuhamia? 3-bedroms, at least one master suite, spacious living and dining rooms. Jikoni na stoo ya jikoni. Na baraza nje mlando wa mbele. Nitawashakuru kwa ushauri wa uhakika. Maana wengine ndiyo tunajipanga. Nina 38 million tayari