Msaada: Kwa Tsh. Milioni 26 naweza kujenga nyumba ya vyumba viwili nchini?

Mkuu kwa hio 26M kwanin usijenge tu nyumba ya vyumba vitatu, dining na sebule,
Haitaisha ila utamaliza kila kitu eg, cha msingi na utahamia ila haitakuwa na fence, rangi nje, pavement, ila ndani ya miaka mitatu unakuwa umekamilisha everything,

And kukujibu swali lako mkuu, ndio unahamia vema kabisa
 
Wakuu.

Hivi kwa milioni 26 za Kitanzania unaweza kujenga nyumba ya vyumba viwili, sitting room, jiko na choo na ikaisha kabisa full kwa ajili ya kuhamia kuishi?
Ujenzi wa nyumba unategemea mahitaji binafsi. Ila nyumba zetu hizi za kawaida kwa pesa hiyo unajenga na kuhamia.
Kuna maboss kuezeka tu nyumba ya vyumba vitatu inaenda 15-20.
 
Mkuu kwa hio 26M kwanin usijenge tu nyumba ya vyumba vitatu, dining na sebule,
Haitaisha ila utamaliza kila kitu eg, cha msingi na utahamia ila haitakuwa na fence, rangi nje, pavement, ila ndani ya miaka mitatu unakuwa umekamilisha everything,

And kukujibu swali lako mkuu, ndio unahamia vema kabisa
Wakuu.

Hivi kwa milioni 26 za Kitanzania unaweza kujenga nyumba ya vyumba viwili, sitting room, jiko na choo na ikaisha kabisa full kwa ajili ya kuhamia kuishi?
Hizi estimates kwa kweli huwa zinatuchanganya wengi wetu nadhani. Maana nimeshauliza swali kama hili la kujenga nyumba ya vyumba vitatu kwa baadhi ya jamaa na marafiki, ila quotations nazopata zina range kwenye million 50 mpaka million 100, kutokana na finishing. Hii ni mpaka kuhamia - na ni kwa ujenzi wa mpakani mwa Dar na Bagamoyo. Sasa naona huku majibu mengi wanasema unaweza jenga kwa millioni 26 nyumba ya 2 bedrooms kwa Dar au Pwani na hukamia kabisa. Very confusing. Inakuwa ngumu mtu kujipanga. Maana unaweza kujipanga kwa Million 30 ukajua itatosha, kumbe bado kabisa, au ikatosha na chenji kubaki. Waliojenga for real, nyumba zenu zimewagharimu kiasi gani mpaka kuhamia? 3-bedroms, at least one master suite, spacious living and dining rooms. Jikoni na stoo ya jikoni. Na baraza nje mlando wa mbele. Nitawashakuru kwa ushauri wa uhakika. Maana wengine ndiyo tunajipanga. Nina 38 million tayari
 
Kwa hiyo pesa unahamia,
Ila vitabaki vitu vichache kwenye finishing, ambavyo sio vya kuumiza kichwa.
 
Mkuu angalia sample hizi, kwa 26 utapaua, na utafanya finishing ya kawaida, mambo mengine utamalizia ukiwa ndani.
1_Photo%20-%201.jpg
20210427_125241.jpg
2_1%20-%20Poto.jpg

View attachment 2958070
 
Attachments

  • 1_1%20-%20Photo.JPG
    1_1%20-%20Photo.JPG
    550.5 KB · Views: 43
  • 1_1%20-%20Photo.JPG
    1_1%20-%20Photo.JPG
    550.5 KB · Views: 46
  • nile%20-8.PNG
    nile%20-8.PNG
    1.2 MB · Views: 41
Hizi estimates kwa kweli huwa zinatuchanganya wengi wetu nadhani. Maana nimeshauliza swali kama hili la kujenga nyumba ya vyumba vitatu kwa baadhi ya jamaa na marafiki, ila quotations nazopata zina range kwenye million 50 mpaka million 100, kutokana na finishing. Hii ni mpaka kuhamia - na ni kwa ujenzi wa mpakani mwa Dar na Bagamoyo. Sasa naona huku majibu mengi wanasema unaweza jenga kwa millioni 26 nyumba ya 2 bedrooms kwa Dar au Pwani na hukamia kabisa. Very confusing. Inakuwa ngumu mtu kujipanga. Maana unaweza kujipanga kwa Million 30 ukajua itatosha, kumbe bado kabisa, au ikatosha na chenji kubaki. Waliojenga for real, nyumba zenu zimewagharimu kiasi gani mpaka kuhamia? 3-bedroms, at least one master suite, spacious living and dining rooms. Jikoni na stoo ya jikoni. Na baraza nje mlando wa mbele. Nitawashakuru kwa ushauri wa uhakika. Maana wengine ndiyo tunajipanga. Nina 38 million tayari
50ml kiroho safi unahamia. Ila kwa uzoefu wangu anza na hela uliyonayo. Ukisubiri makadirio hautajenga kwani hata upewe BOQ na watalamu wa ujenzi bado ni makisio tu.
 
Ushauri
1.Anza Kujenga (provided Una Kiwanja na Ramani unayoipenda,Una Fundi mzoefu na mwaminifu-Dar na Pwani Mafundi ni mtihani,Una Muda wa Kusoma hasa Manunuzi ya Vifaa.
2.Kunaweza kutokea variations za hapa na pale,lakini Kwa Pesa hiyo Utamaliza Boma na Paa,na baadhi ya finishing mhimu Hadi kuhamia.
3.Hujasema Kiwanja Kikoje:Tambarare au Mtelemko.
NB
Angalau Nina uzoefu wa Kujenga Nyumba za binafsi Dar, Tabora,Geita na Dodoma.Kuna vitu viko tofauti Kwa maana kwamba Kwa Dar Pesa nyingi zinapotea kizembe wakati wa Kujenga.Nilianzia Dar kisha nikahama kikazi kuja Mikoani naona Mambo tofauti.
 
Back
Top Bottom