Gifted
JF-Expert Member
- Feb 24, 2017
- 476
- 852
Habari za wakati huu wana Jf.
Kuna issue imenitokea week iliyopita nimeenda kariakoo kununua Smart tv TCL inch 32 Tshs 380000; imejaribiwa ikawaka vizuri nikafanya malipo nikaondoka. Kufika nyumbani nimeiwasha nimeunganisha wifi nacheki video youtube ikazima yenyewe, Yaani taa nyekundu upande wa nyuma inawaka ila Tv haipokei moto.
Nimeirudisha dukani wakanibadilishia nyingine kufika nyumbani issue ni ile ile.nimeirudisha tena wakaniambia tv ya mwanzo imekufa Tv card na hiyo ya pili itakuwa ni card pia. Hivyo hilo suala sisi halituhusu hatuwezi kubadilisha tv nyingine wewe ndo umearibu,nimewaambia wanipe card service niende tcl wamegoma. Nimekosa cha kufanya ndugu zangu nahitaji msaada wenu kwa wenye uelewa niokoe hela yangu