Msaada: Leseni ya madini na gharama yake

Omary Mkundi

Member
Joined
Aug 30, 2022
Posts
15
Reaction score
9
Bila shaka mko vizuri,

Nahitaji kujuzwa juu ya leseni ya kununulia madini, je gharama yake ni shilingi ngapi na niaina gani ya madini?
 
Leseni ya kununua na kuuza inaitwa Broker licence unaanzia halmashauri unachukua fomu ya leseni unajaza unaenda nayo TRA wanakukadiria kodi unalipia robo wanakupa tin na tax clearance certificate unatoa copy na kitambulisho na passort picha 3 unaenda madini unaomba form ya kuomba broker licence unapewa akaunti ukalipie 250,000/= naada ya kupeleka deposit slip unawapa siku moja unapewa fasta. auina ya madini unaandika yoyote usiandike dini maalumu mfano unataka tanzanite andika all gemstones ,unataka dhahabu weka all precious metals ,the wellcome to the business

Fomu ya halmashauri hii hapa http://barakaconsult.com/uploads/LESENI_YA_BIASHARA_en.pdf

NB: Kama unataka ya kuchimba kwa sasa zimesitishwa hadi itapoundwa tume ,usiskize maneno ya watu serikali iko so sapportive kwenye hii biashara ilimradi ufuate sheria tu na uwe na maarifa ya kutosha juu ya madini uliyoamua kufanyia kazi ,kama unaswali lolote usinifate inbox ulizia hapa hapa wafaidike vijana wengi.
 
mkuu kuna madini ya mica.... kama kuna wanunuzi una wafahamu, au kama wewe una nunua basi tufanye biashara mkuu...
 
Mkuu mimi najihusisha na vito tuu ,hizo huwa zinauzwa kwa makilo au matani mica ni industrial mineral zinatumika kwenye viwanda vya rangi zaidi japo kidogo pia kwenye viwanda vya umeme na vipodozi
 
Leseni ya kununua na kuuza inaitwa Broker licence unaanzia halmashauri unachukua fomu ya leseni unajaza unaenda nayo TRA wanakukadiria kodi unalipia robo wanakupa tin na tax clearance certificate unatoa copy na kitambulisho na passort picha 3 unaenda madini unaomba form ya kuomba broker licence unapewa akaunti ukalipie 250,000/= naada ya kupeleka deposit slip unawapa siku moja unapewa fasta. auina ya madini unaandika yoyote usiandike dini maalumu mfano unataka tanzanite andika all gemstones ,unataka dhahabu weka all precious metals ,the wellcome to the business

Fomu ya halmashauri hii hapa http://barakaconsult.com/uploads/LESENI_YA_BIASHARA_en.pdf

NB: Kama unataka ya kuchimba kwa sasa zimesitishwa hadi itapoundwa tume ,usiskize maneno ya watu serikali iko so sapportive kwenye hii biashara ilimradi ufuate sheria tu na uwe na maarifa ya kutosha juu ya madini uliyoamua kufanyia kazi ,kama unaswali lolote usinifate inbox ulizia hapa hapa wafaidike vijana wengi.
Ni the processes hata kama unataka Leseni ya Super Dealer? Kwa maana ya Ku export!?
 
Mkuu mimi najihusisha na vito tuu ,hizo huwa zinauzwa kwa makilo au matani mica ni industrial mineral zinatumika kwenye viwanda vya rangi zaidi japo kidogo pia kwenye viwanda vya umeme na vipodozi
tuna li mgodi lipo lina hayo madini mengi sana... tatizo ndio hilo kwa sisi wachimbaji wadogo... ni kupata wateja au wawekezaji...
 
Ni Rahisi fanyeni yafuatayo :
Mosi chimbeni kidogo mpate hizo sample pelekeni ofisi za SEAMIC ukifika Kunduchi utazipata wapeni watawapimia watawashauri na watawapa wawekezaji wanaojihusisha na hayo madini ,mkishaambiwa matokeo cha kwanza mkalikamate eneo kisheria kwa kuchukua coordinate na kupeleka ofisi za madini kisha hata humu JF mje na matokeo ya kitaala nakuapia haiishi wiki wachina wamepaki magrader hapo shimoni kwenu mda huo utakuwa unaleta fujo baa za sinza
 
mkuu kila kitu kipo kinacho husu leseni... na tupo karibu na barabara kuu... kabla haijawa ya lami...

kuna sehemu nyingine kulikuwa kuna quartz... ambapo walikuwa wachukua vifusi vya udongo... kwa ajiri ya ujenzi wa barabara, sasa dereva wa excavator alivyo ona vile, hakutaka wananchi wajibee aka fukia na kifusi kizito kweli...

hahahahahaha... niki kumbuka lile tukio huwa nafurahi tu, umasikini sio mzuri...

NB:
Ushauri wako naufanyia kazi mkuu, shukrani sana...
 
quarts inategemea ubora sokoni inatakiwa iwe nyeupe kama maji na pembe zake ziwe na ncha kali ,zinaweza lipa

Huyo jamaa anaroho mbaya sana sasa hamjakifukua tu
 
pale mpaka kuchukua excavetor mkuu... gharama kidogo... tungeweza kuuza huu mzigo wa mica nazani inge rahisisha kuchukua kibari kwa ajiri ya eneo lile pia... hii nchi ina madini kila kona...

mimi nazidi kujipa moyo kuwa sio masikini, na huku ndipo ntapigia pesa, na kumiliki migodi mingi na hisa kibao... kama sio mimi basi ntajaribu kuwezesha kijiji chetu kiwe na machimbo na hisa... ili kiwe kina kula asilimia zake pamoja na zile za lazima kisheria....

nchi hii wasomi wana taka maendeleo lakini ndio hivyo hawataki kufikiria zaidi na zaidi...
 
mkuu kila kitu kipo kinacho husu leseni... na tupo karibu na barabara kuu... kabla haijawa ya lami...

kuna sehemu nyingine kulikuwa kuna quartz... ambapo walikuwa wachukua vifusi vya udongo... kwa ajiri ya ujenzi wa barabara, sasa dereva wa excavator alivyo ona vile, hakutaka wananchi wajibee aka fukia na kifusi kizito kweli...

hahahahahaha... niki kumbuka lile tukio huwa nafurahi tu, umasikini sio mzuri...

NB:
Ushauri wako naufanyia kazi mkuu, shukrani sana...
Upo mkoa gan mkuu tubadilishane mawazo
 
"The only" huku kwenye kuuza nje madini au vito mnasema Master Dealer, utaratibu wa kupata hiyo leseni ukoje na gharama zake zikoje? Tujuze mwana JF.
 
Back
Top Bottom