Omary Mkundi
Member
- Aug 30, 2022
- 15
- 9
mkuu kuna madini ya mica.... kama kuna wanunuzi una wafahamu, au kama wewe una nunua basi tufanye biashara mkuu...Leseni ya kununua na kuuza inaitwa Broker licence unaanzia halmashauri unachukua fomu ya leseni unajaza unaenda nayo TRA wanakukadiria kodi unalipia robo wanakupa tin na tax clearance certificate unatoa copy na kitambulisho na passort picha 3 unaenda madini unaomba form ya kuomba broker licence unapewa akaunti ukalipie 250,000/= naada ya kupeleka deposit slip unawapa siku moja unapewa fasta. auina ya madini unaandika yoyote usiandike dini maalumu mfano unataka tanzanite andika all gemstones ,unataka dhahabu weka all precious metals ,the wellcome to the business
Fomu ya halmashauri hii hapa http://barakaconsult.com/uploads/LESENI_YA_BIASHARA_en.pdf
NB: Kama unataka ya kuchimba kwa sasa zimesitishwa hadi itapoundwa tume ,usiskize maneno ya watu serikali iko so sapportive kwenye hii biashara ilimradi ufuate sheria tu na uwe na maarifa ya kutosha juu ya madini uliyoamua kufanyia kazi ,kama unaswali lolote usinifate inbox ulizia hapa hapa wafaidike vijana wengi.
Mkuu mimi najihusisha na vito tuu ,hizo huwa zinauzwa kwa makilo au matani mica ni industrial mineral zinatumika kwenye viwanda vya rangi zaidi japo kidogo pia kwenye viwanda vya umeme na vipodozimkuu kuna madini ya mica.... kama kuna wanunuzi una wafahamu, au kama wewe una nunua basi tufanye biashara mkuu...
Ni the processes hata kama unataka Leseni ya Super Dealer? Kwa maana ya Ku export!?Leseni ya kununua na kuuza inaitwa Broker licence unaanzia halmashauri unachukua fomu ya leseni unajaza unaenda nayo TRA wanakukadiria kodi unalipia robo wanakupa tin na tax clearance certificate unatoa copy na kitambulisho na passort picha 3 unaenda madini unaomba form ya kuomba broker licence unapewa akaunti ukalipie 250,000/= naada ya kupeleka deposit slip unawapa siku moja unapewa fasta. auina ya madini unaandika yoyote usiandike dini maalumu mfano unataka tanzanite andika all gemstones ,unataka dhahabu weka all precious metals ,the wellcome to the business
Fomu ya halmashauri hii hapa http://barakaconsult.com/uploads/LESENI_YA_BIASHARA_en.pdf
NB: Kama unataka ya kuchimba kwa sasa zimesitishwa hadi itapoundwa tume ,usiskize maneno ya watu serikali iko so sapportive kwenye hii biashara ilimradi ufuate sheria tu na uwe na maarifa ya kutosha juu ya madini uliyoamua kufanyia kazi ,kama unaswali lolote usinifate inbox ulizia hapa hapa wafaidike vijana wengi.
tuna li mgodi lipo lina hayo madini mengi sana... tatizo ndio hilo kwa sisi wachimbaji wadogo... ni kupata wateja au wawekezaji...Mkuu mimi najihusisha na vito tuu ,hizo huwa zinauzwa kwa makilo au matani mica ni industrial mineral zinatumika kwenye viwanda vya rangi zaidi japo kidogo pia kwenye viwanda vya umeme na vipodozi
Ni Rahisi fanyeni yafuatayo :tuna li mgodi lipo lina hayo madini mengi sana... tatizo ndio hilo kwa sisi wachimbaji wadogo... ni kupata wateja au wawekezaji...
mkuu kila kitu kipo kinacho husu leseni... na tupo karibu na barabara kuu... kabla haijawa ya lami...Ni Rahisi fanyeni yafuatayo :
Mosi chimbeni kidogo mpate hizo sample pelekeni ofisi za SEAMIC ukifika Kunduchi utazipata wapeni watawapimia watawashauri na watawapa wawekezaji wanaojihusisha na hayo madini ,mkishaambiwa matokeo cha kwanza mkalikamate eneo kisheria kwa kuchukua coordinate na kupeleka ofisi za madini kisha hata humu JF mje na matokeo ya kitaala nakuapia haiishi wiki wachina wamepaki magrader hapo shimoni kwenu mda huo utakuwa unaleta fujo baa za sinza
quarts inategemea ubora sokoni inatakiwa iwe nyeupe kama maji na pembe zake ziwe na ncha kali ,zinaweza lipamkuu kila kitu kipo kinacho husu leseni... na tupo karibu na barabara kuu... kabla haijawa ya lami...
kuna sehemu nyingine kulikuwa kuna quartz... ambapo walikuwa wachukua vifusi vya udongo... kwa ajiri ya ujenzi wa barabara, sasa dereva wa excavator alivyo ona vile, hakutaka wananchi wajibee aka fukia na kifusi kizito kweli...
hahahahahaha... niki kumbuka lile tukio huwa nafurahi tu, umasikini sio mzuri...
NB:
Ushauri wako naufanyia kazi mkuu, shukrani sana...
pale mpaka kuchukua excavetor mkuu... gharama kidogo... tungeweza kuuza huu mzigo wa mica nazani inge rahisisha kuchukua kibari kwa ajiri ya eneo lile pia... hii nchi ina madini kila kona...quarts inategemea ubora sokoni inatakiwa iwe nyeupe kama maji na pembe zake ziwe na ncha kali ,zinaweza lipa
Huyo jamaa anaroho mbaya sana sasa hamjakifukua tu
Mgodi ulipo huwa ni siri kama bado huna leseni mkuuKijij gani hicho?
Upo mkoa gan mkuu tubadilishane mawazomkuu kila kitu kipo kinacho husu leseni... na tupo karibu na barabara kuu... kabla haijawa ya lami...
kuna sehemu nyingine kulikuwa kuna quartz... ambapo walikuwa wachukua vifusi vya udongo... kwa ajiri ya ujenzi wa barabara, sasa dereva wa excavator alivyo ona vile, hakutaka wananchi wajibee aka fukia na kifusi kizito kweli...
hahahahahaha... niki kumbuka lile tukio huwa nafurahi tu, umasikini sio mzuri...
NB:
Ushauri wako naufanyia kazi mkuu, shukrani sana...
kwasasa nipo moro mkuuUpo mkoa gan mkuu tubadilishane mawazo
Sehemu za berega,idibo pia kuna quartzkwasasa nipo moro mkuu
duh uwe na mzigo maana unatakiwa uwe na ofisi vifaa ushahidi wa mtaji na ujuzi madocument ya tra full na ada kama mil kumi"The only" huku kwenye kuuza nje madini au vito mnasema Master Dealer, utaratibu wa kupata hiyo leseni ukoje na gharama zake zikoje? Tujuze mwana JF.