Msaada: Leseni ya madini na gharama yake

madini ni sehemu tu... mimi nashughulika na mambo ya ardhi kwa ujumla wake..
Ok ....najua unazunguka sana na unakutana na mambo kama hayo
Sema kwa tz asilimia kubwa wanaogundua madini ni wafugaji,wakulima,wakata mbao ktk maeneo tofauti tofauti nchini

Ova
 
Ok ....najua unazunguka sana na unakutana na mambo kama hayo
Sema kwa tz asilimia kubwa wanaogundua madini ni wafugaji,wakulima,wakata mbao ktk maeneo tofauti tofauti nchini

Ova
nikweli... vipi una jishughulisha na hii biashara?
 
una dili na aina gani ya madini mkuu? una migodi...? wateja wako ni wakina nani hasa?
Mara nyingi huwa nanunua na kuuza kuchimba Ilikuwa zamani,kuchimba unachelewa alafu inahitaji mtaji mkubwa na garama znakuwa nyingi tu
Na real na felsper Aina zote,gold n shine
Mawe ya gairo etc,na saphire za kilosa,saphire za mkalamo,tanga,ruby caboshon za moro na sehemu zingine...
Wanunuzi wangu wengi wajubwa ni Kutoka jaipur,india......na wachina,wathai kdg pia

Ova
 
Uko vizuri ndugu,asante sana.
 
Hbr zenu wadau naomba msaada wa kujua leseni ya kusafirisha mchanga wa kujengea.. jee kuna vibali au hatua yoyote ya kufuata ili nisisumbuliwe na hii biashara.
Naleta kwenu kwa hatua..
 
Hbr zenu wadau naomba msaada wa kujua leseni ya kusafirisha mchanga wa kujengea.. jee kuna vibali au hatua yoyote ya kufuata ili nisisumbuliwe na hii biashara.
Naleta kwenu kwa hatua..View attachment 899716
Kadi ya chama pendwa unayo? Kama jibu ni ndiyo basi nenda kapakie mchanga ukiwa kifua mbele
 
TRA wanakukadiriaje kodi ilhali hujaanza biashara wala hujui turn over yake itakuaje?
 
Kivyako umenifunga upepo hapo kimtindo hapo unamaanishaje kwenye hii biashara ina siasa ndani yake au ni ngumu kiasi fulani..
Jee ukiwa na kadi pendwa itasaidia nini wakati bidhaa zitahitajia kodi.
Anyway kwa anaefahamu njia nyengine anijuze
 
Nashkuru kimemeta nimeielewa hiyo concept yako ya kuanzia halmashauri kuomba then kuendelea na procedures nyengine hadi kufikia huko ofisi za madini.. asanteni sana.
 
TRA wanakukadiriaje kodi ilhali hujaanza biashara wala hujui turn over yake itakuaje?
Kiwango cha kukadiriwa ni capital ambayo utaanza nayo. Hiyo ipo wazi huwezi ukafanya mchanganuo wa kodi mwenyewe..
Nadhani nitakua nimelijibu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…