Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kapandikize wadudu waoitwa sangara. ni aina ya siafu na wanaishi kwenye vishimo wanavojichimbia wenyewe ardhini. hawa wadudu ni dhahama kubwa sana kwa nyoka. popote walipo nyoka hakanyagi
Looks interesting lakini hao sangara nawapata wapi kaka hapa dar/pwani?
Asante kwa shule nzuri, mwanamazingira asante kwa ushauri ila sie tutajuaje huyu ndio blackmamba au sio nao hawakawii kumgonga mtu hasa kama watu wanasafisha mashamba huwa balaa, Nafahamu oily harufu inakaa muda je hizo fumigation je?
kama shamba linapakana na wengine ni vichaka hawasafishi itakuwaje siwatarudi tena? Nimejifunza mbinu zote nitajaribu iliyo muafaka nione.
black mamba akiachama kinywa chake ni cheusi but the body is green
Black mamba a.k.a koboko huwa anawika kama jogoo ni nyoka hatari zaidi maana yeye ukipita maeneo yake lazima akuue tofauti na wengine ambao mpaka aidha umkanyage au umguse. Anakawaida ya kukaa juu ya mti na kugonga kichwani, akikukosa atakukimbiza mpaka akupate ukiwahi kwenye gari hukaa chini ya gari na utatoka nae mbeya mpaka dar ukishuka tu game linaendelea baada ya half time. Ndo maana jamaa akasema hapo hawapo maana mtoa mada tayari angekua rip.
Ya kweli haya?
Mzee mbona unanitisha nitaogopa kwenda shambani kwangu sasa
we acha tu taratibu tutafika, sasa jamani pamoja na mbinu hizi za kuwafukuza je zaidi ya kuvaa boots shambani personal protection ingine ni nini? Nakumbuka kijana wangu aliomba kununuliwa mabuti tu kuna kingine chochote kitasaidia?
Hapo ni kuomba mungu tu ndio atasaidia maana hata hayo mabuti unaweza kukuta nyoka yupo juu ya mti anadunga kichwa.
Ha ha ha atasubiri sanaanasubiri ulale akubwenge
kwahiyo leo hulali mkuu?Ha ha ha atasubiri sana
Ungekuw hujui ungelala salama tu ila ushajua ni shida!Habari za usiku wana jamii forum
Leo nimetoka kwenye mishe zangu kama kijana sasa naishi na dogo rumu si kaniambia bro nimemuona nyoka ameingia humu room kwetu kuanzia mchana nimejaribu kumtafuta usiku huu haonekani haonekani nimeangalia uvunguni,kwenye mabegi hayupo ila dogo kanihakikishia kuwa yupo humu humu ndani yaani sijui usiku huu na alipoingilia haijulikani wapi wakati rumu limefungwa sijui ina maana gani hii wakuu na nimebanwa na usingizi ile mbaya
Choma mipira! Tyre za gari nyoka na aina zote za wanyama pori hawatasogeaWapendwa,
katika jitihada za kupambana na umaskini, nilichukua kakichaka ambako nakasafisha kwa ajili ya shamba na shughuli za ufugaji. Changamoto niliyokutana nayo ni kuwa:
1. Kuna vichaka vingi vinavyozunguka eneo hili kiasi kwamba hata nikisafisha bado majirani zangu wanabaki na vichaka
2. Eneo hili ni zuri sana lakini lina nyoka wengi.
Naomba kujua mbinu za kisayansi - chemicals, mimea ya kupanda kufukuza nyoka, etc ninazoweza kutumia ili niepukane na adha ya nyoka hawa.
Nitashukuru kupata michango iliyo makini.
Hio niliona live kwenye documentary moja ya DWTV, Huyo nyoka alijificha chini ya prado aisee!Ya kweli haya?
Mzee mbona unanitisha nitaogopa kwenda shambani kwangu sasa
Angalia mdomo huponza kichwa mkuu. Ni Mungu ndio alimuweka binadamu duniani.