Msaada: Mbinu Kufukuza Nyoka mashambani

Msaada: Mbinu Kufukuza Nyoka mashambani

panda ulezi kuzunguka shamba..pindi ulezi unapokomaa hudondoka na kuanguka chini huwatesa sana nyoka wakati wanapotambaa..watakimbia wenyewe
 
kapandikize wadudu waoitwa sangara. ni aina ya siafu na wanaishi kwenye vishimo wanavojichimbia wenyewe ardhini. hawa wadudu ni dhahama kubwa sana kwa nyoka. popote walipo nyoka hakanyagi

Hao ni kiboko ya nyoka ila kwa miti ya matunda ni janga, wanakula sana maua ya matunda na kufanya isizae haswa maembe na matopetope. Ila aweke hao maana ni tiba ya kudumu bila garama.
 
Looks interesting lakini hao sangara nawapata wapi kaka hapa dar/pwani?

Kibamba ccm kijiji kinaitwa mloganzila wapo weng sana na tushasahau habari za nyoka. Wao wanakaba ardhini na kwenye miti so nyoka hawana pa kukaa wanahama tu maana mziki wa sangara ndani ya nusu saa tu washamshambulia macho na kila mahali na kumuua afu vipisi vya nyama wanapeleka mashimoni kama akiba ya chakula
 
Asante kwa shule nzuri, mwanamazingira asante kwa ushauri ila sie tutajuaje huyu ndio blackmamba au sio nao hawakawii kumgonga mtu hasa kama watu wanasafisha mashamba huwa balaa, Nafahamu oily harufu inakaa muda je hizo fumigation je?
kama shamba linapakana na wengine ni vichaka hawasafishi itakuwaje siwatarudi tena? Nimejifunza mbinu zote nitajaribu iliyo muafaka nione.

Black mamba a.k.a koboko huwa anawika kama jogoo ni nyoka hatari zaidi maana yeye ukipita maeneo yake lazima akuue tofauti na wengine ambao mpaka aidha umkanyage au umguse. Anakawaida ya kukaa juu ya mti na kugonga kichwani, akikukosa atakukimbiza mpaka akupate ukiwahi kwenye gari hukaa chini ya gari na utatoka nae mbeya mpaka dar ukishuka tu game linaendelea baada ya half time. Ndo maana jamaa akasema hapo hawapo maana mtoa mada tayari angekua rip.
 
Ya kweli haya?

Mzee mbona unanitisha nitaogopa kwenda shambani kwangu sasa
 
we acha tu taratibu tutafika, sasa jamani pamoja na mbinu hizi za kuwafukuza je zaidi ya kuvaa boots shambani personal protection ingine ni nini? Nakumbuka kijana wangu aliomba kununuliwa mabuti tu kuna kingine chochote kitasaidia?

Hapo ni kuomba mungu tu ndio atasaidia maana hata hayo mabuti unaweza kukuta nyoka yupo juu ya mti anadunga kichwa.
 
Kabisa ndo anaanza nimemshauri achome moto pote kwanza kupunguza vichaka na kuwaogopesha. Ila ni kuomba Mungu tu.
Hapo ni kuomba mungu tu ndio atasaidia maana hata hayo mabuti unaweza kukuta nyoka yupo juu ya mti anadunga kichwa.
 
Habari za usiku wana jamii forum
Leo nimetoka kwenye mishe zangu kama kijana sasa naishi na dogo rumu si kaniambia bro nimemuona nyoka ameingia humu room kwetu kuanzia mchana nimejaribu kumtafuta usiku huu haonekani haonekani nimeangalia uvunguni,kwenye mabegi hayupo ila dogo kanihakikishia kuwa yupo humu humu ndani yaani sijui usiku huu na alipoingilia haijulikani wapi wakati rumu limefungwa sijui ina maana gani hii wakuu na nimebanwa na usingizi ile mbaya
 
Ungekuw hujui ungelala salama tu ila ushajua ni shida!
Nyoka wako aina nyingi kuna wengine hawana sumu ila usiamini alieingia hana sumu hiyo ni false positive.ila puliza dawa y mbu au choma atatoka alipo.ila wadudu huwa tunalala nao sana tu ila ukishamuona ndo atakujeruhi
 
Wapendwa,
katika jitihada za kupambana na umaskini, nilichukua kakichaka ambako nakasafisha kwa ajili ya shamba na shughuli za ufugaji. Changamoto niliyokutana nayo ni kuwa:
1. Kuna vichaka vingi vinavyozunguka eneo hili kiasi kwamba hata nikisafisha bado majirani zangu wanabaki na vichaka
2. Eneo hili ni zuri sana lakini lina nyoka wengi.
Naomba kujua mbinu za kisayansi - chemicals, mimea ya kupanda kufukuza nyoka, etc ninazoweza kutumia ili niepukane na adha ya nyoka hawa.
Nitashukuru kupata michango iliyo makini.
Choma mipira! Tyre za gari nyoka na aina zote za wanyama pori hawatasogea
 
Ya kweli haya?

Mzee mbona unanitisha nitaogopa kwenda shambani kwangu sasa
Hio niliona live kwenye documentary moja ya DWTV, Huyo nyoka alijificha chini ya prado aisee!
Mwanzo alionekana anavuka upande mmoja wa barabara kwenda mwingine mzungu akamuona metre kadhaa mbele akasimamisha gari ili amuache avuke, then akaendelea na safari ile anafika home si ndio kufungua mlango wa gari ashuke, hapo hapo akapokea sakramenti. Uzuri alikuwa na mkewe ndio hapo hapo akawasha gari tena kuelekea hospitali ya jirani kupata huduma dokta ndio akaambiwa angechelewa kidogo tu hata nusu saa asingetoboa!
 
Back
Top Bottom