Msaada: Mbinu Kufukuza Nyoka mashambani

Msaada: Mbinu Kufukuza Nyoka mashambani

solution ni ...mwaga oil tena chafu kuzunguka shamba lote alieko ndani hatoki na alieko nje haiingii tena.. hakika utanikubali mkuu sikuamini lakini mi nimemaliza tatizo nineuwa mmoja mmoja waliokuwa ndani na sasa hali ni safi...
 
Huu ni uharibifu wa mazingira wa hali ya juu mno. Never do that, petrol au Diesel utakayospray itabakia kwenye udongo au majani na mvua ikinyesha itasombwa na kwenda mtoni ambako huziba layer ya juu ya maji na kusababisha vifo kwa vimbe wa majini.

Nyoka sio adui yako kama yuko shambani, cha kufanya chunguza ni aina gani ya nyoka wanaoonekana mara kwa mara. Kama ni nyoka yoyote tofauti na Black Mamba, usijali, endelea na shuguli zako na hao nyoka watahama kwa kuona ongezeko la shuguli za binadamu. Kama Black Mamba angekuwa ameishaleta madhara. Ukishindwa kabisa ziko dawa za kufukuza nyoka ambazo ni environmental friendly ukienda kwenye maduka ya dawa utazipata. TAFADHALI USITUMIE DIESEL AU PETROL

Asante kwa ushauri wakitaalam.
 
Mkuu nimefurahia sana mchango wako lazima tufikirie mazingira pia
 
Mkuu mawazo mazuri, hivi ni maduka ya dawa za aina gani nitapata dawa kama hizo mkuu. Kuna duka unalijua hapa dar?
 
nenda kkoo sokoni kwenye maduka ya pembejeo za kilimo ulizia !!pia nashindwa nikuelekezeje kuna mimea fulani hufukuza nyoka sakumbuki jina na kwa hapa dsm inawezekana isistawi au haipo kabisaaaa
 
Asante kwa shule nzuri, mwanamazingira asante kwa ushauri ila sie tutajuaje huyu ndio blackmamba au sio nao hawakawii kumgonga mtu hasa kama watu wanasafisha mashamba huwa balaa, Nafahamu oily harufu inakaa muda je hizo fumigation je?
kama shamba linapakana na wengine ni vichaka hawasafishi itakuwaje siwatarudi tena? Nimejifunza mbinu zote nitajaribu iliyo muafaka nione.
 
Nyoka ni janga kwenye mashamba, nimepata mbinu za kutosha hapa.
 
Asante kwa shule nzuri, mwanamazingira asante kwa ushauri ila sie tutajuaje huyu ndio blackmamba au sio nao hawakawii kumgonga mtu hasa kama watu wanasafisha mashamba huwa balaa, Nafahamu oily harufu inakaa muda je hizo fumigation je?
kama shamba linapakana na wengine ni vichaka hawasafishi itakuwaje siwatarudi tena? Nimejifunza mbinu zote nitajaribu iliyo muafaka nione.
black mamba akiachama kinywa chake ni cheusi but the body is green
 
harufu tu ya oil chafu inamkimbiza nyokaweka kwenye kopo lililo wazi,angalia lisimwagike na kuaribu ardhi ya shamba lako.pia uwe unajaza kila baada ya muda fulani.usinyunyuzie kwenye ardhi .weka kwenye makopo mengi kuzunguka shamba.
 
black mamba akiachama kinywa chake ni cheusi but the body is green

Sivyo hivyo chifu. Black mamba mwili wake ni dark grey kuelekea nyeusi. Akiwa mdogo rangi inaweza kuwa lighter. Ila jina la black mamba ni kweli limetokana na sehemu ya ndani ya kinywa chake kuwa cheusi.

Huyo wa kijani, anaitwa green mamba. Ni genus moja na black mamba. Ila black mamba ndiyo lethal; ni hatari kuliko maelezo. Kwani ni nyoka aliye aggressive katika kufanya shambulizi kuliko nyoka wengine.

Wasukuma wanamfahamu huyu; anajulikana kama ng'hobhoko! Akiingia kwenye zizi la ng'ombe anaweza kufanya uharibifu husioelezeka.

Angalia hizi picha: ya kwanza ni black mamba na ya pili ni green mamba.
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1369675016.130326.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1369675016.130326.jpg
    33.3 KB · Views: 438
  • ImageUploadedByJamiiForums1369675032.323010.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1369675032.323010.jpg
    82.4 KB · Views: 437
Wapendwa,
katika jitihada za kupambana na umaskini, nilichukua kakichaka ambako nakasafisha kwa ajili ya shamba na shughuli za ufugaji. Changamoto niliyokutana nayo ni kuwa:
1. Kuna vichaka vingi vinavyozunguka eneo hili kiasi kwamba hata nikisafisha bado majirani zangu wanabaki na vichaka
2. Eneo hili ni zuri sana lakini lina nyoka wengi.
Naomba kujua mbinu za kisayansi - chemicals, mimea ya kupanda kufukuza nyoka, etc ninazoweza kutumia ili niepukane na adha ya nyoka hawa.
Nitashukuru kupata michango iliyo makini.

Huo ni uchokozi wa dhahiri. Nyoka hajaja nyumbani kwako wewe unataka kumuangamiza. Cha ajabu unamfuata kwake! ukikaa kwako bila kwenda shambani atakudhuru vipi? Mara zote nyoka humkimbia binadamu na humshambulia binadamu ili kujilinda tu na si vinginevyo. Mara dizeli mara sangara mara paka ! Katika makosa yaliyofanywa hapa duniani ni kuwepo kwa kiumbe kinachoitwa Binadamu!
 
Just panda miche ya tumbaku, Rosemary, pembezoni mwa shaba lako na utakuwa umewahamisha na vilevile utakuwa umepata mazao kwa manufaa yako(herbal medicine for rosemary nd organic pesticide for tumbaku)
 
mmmm wewe Nzi, nani kasema ulete picha hizi huku??? mbona umenitia hofu kabisa mimi sihitaji detail kabisa chochote kinachojinyonganyonga naogopa kabisa. Ngamba Rosemary ni maua au nini? au unamaanisha roses (waridi)? unaweza tuwekea picha? lakini nijaribu nami google nione ni mmea gani
 
Kuna mtu alisema kuna mabata maji au sijui bata mzinga ni kiboko ya Snakes.

Halafu pia nasikia Kuku na Paka ni kiboko ya snakes.

Weka hii mifugo pengine itasaidia.
 
amtafute kitomary ampatie bata bukini humu ndio dawa yanyoka na mambo mengine mabaya hutoa ishara mapema
 
black mamba akiachama kinywa chake ni cheusi but the body is green

photo-31838.jpg

Mamba wapo wa rangi nyingi kutofautiana kadiri ya mazingira wanayoishi. Huyu ni deadly, na ndio nyoka anauma kwa kukusudia na kupanga kabisa kufanya ubaya.

Green%20Mamba%202.JPG

Huyu Green Mamba ni hatari zaidi ya Black Mamba, uzuri ni kwamba huishi kwenye misitu mikubwa na amwe hakai karibu na mazingira yenye binadamu. Huyu ni tofauti na hawa nyoka wa kijani wanaokaa kwenye miti hata majumbani, huyu ni mkubwa na anaruka mti mmoja hadi mwingine kwa namna ya ajabu. Black Mamba haishi kwenye miti, yeye hupendelea vichuguu kama Cobra
 
Kuna mtu alisema kuna mabata maji au sijui bata mzinga ni kiboko ya Snakes.

Halafu pia nasikia Kuku na Paka ni kiboko ya snakes.

Weka hii mifugo pengine itasaidia.

Inategemea ni aina gani ya nyoka wanaomsumbua. Nyoka wakubwa ni hatari kwa kuku kuliko kuku alivyo hatari kwake. Cobra aliwahi kuingia bandani mwa kuku wangu usiku, nilizika kuku 37
 
Huo ni uchokozi wa dhahiri. Nyoka hajaja nyumbani kwako wewe unataka kumuangamiza. Cha ajabu unamfuata kwake! ukikaa kwako bila kwenda shambani atakudhuru vipi? Mara zote nyoka humkimbia binadamu na humshambulia binadamu ili kujilinda tu na si vinginevyo. Mara dizeli mara sangara mara paka ! Katika makosa yaliyofanywa hapa duniani ni kuwepo kwa kiumbe kinachoitwa Binadamu!

Angalia mdomo huponza kichwa mkuu. Ni Mungu ndio alimuweka binadamu duniani.
 
Back
Top Bottom