Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,168
- 1,549
Lipo Pwani arvin sloane
Safisha shamba, mwaga mbaazi ktk mipaka ya shamba kulizunguka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipo Pwani arvin sloane
Huu ni uharibifu wa mazingira wa hali ya juu mno. Never do that, petrol au Diesel utakayospray itabakia kwenye udongo au majani na mvua ikinyesha itasombwa na kwenda mtoni ambako huziba layer ya juu ya maji na kusababisha vifo kwa vimbe wa majini.
Nyoka sio adui yako kama yuko shambani, cha kufanya chunguza ni aina gani ya nyoka wanaoonekana mara kwa mara. Kama ni nyoka yoyote tofauti na Black Mamba, usijali, endelea na shuguli zako na hao nyoka watahama kwa kuona ongezeko la shuguli za binadamu. Kama Black Mamba angekuwa ameishaleta madhara. Ukishindwa kabisa ziko dawa za kufukuza nyoka ambazo ni environmental friendly ukienda kwenye maduka ya dawa utazipata. TAFADHALI USITUMIE DIESEL AU PETROL

nenda kkoo sokoni kwenye maduka ya pembejeo za kilimo ulizia !!pia nashindwa nikuelekezeje kuna mimea fulani hufukuza nyoka sakumbuki jina na kwa hapa dsm inawezekana isistawi au haipo kabisaaaaMkuu mawazo mazuri, hivi ni maduka ya dawa za aina gani nitapata dawa kama hizo mkuu. Kuna duka unalijua hapa dar?
black mamba akiachama kinywa chake ni cheusi but the body is greenAsante kwa shule nzuri, mwanamazingira asante kwa ushauri ila sie tutajuaje huyu ndio blackmamba au sio nao hawakawii kumgonga mtu hasa kama watu wanasafisha mashamba huwa balaa, Nafahamu oily harufu inakaa muda je hizo fumigation je?
kama shamba linapakana na wengine ni vichaka hawasafishi itakuwaje siwatarudi tena? Nimejifunza mbinu zote nitajaribu iliyo muafaka nione.
black mamba akiachama kinywa chake ni cheusi but the body is green
Wapendwa,
katika jitihada za kupambana na umaskini, nilichukua kakichaka ambako nakasafisha kwa ajili ya shamba na shughuli za ufugaji. Changamoto niliyokutana nayo ni kuwa:
1. Kuna vichaka vingi vinavyozunguka eneo hili kiasi kwamba hata nikisafisha bado majirani zangu wanabaki na vichaka
2. Eneo hili ni zuri sana lakini lina nyoka wengi.
Naomba kujua mbinu za kisayansi - chemicals, mimea ya kupanda kufukuza nyoka, etc ninazoweza kutumia ili niepukane na adha ya nyoka hawa.
Nitashukuru kupata michango iliyo makini.
Huo ni uchokozi wa dhahiri. Nyoka hajaja nyumbani kwako wewe unataka kumuangamiza. Cha ajabu unamfuata kwake! ukikaa kwako bila kwenda shambani atakudhuru vipi? Mara zote nyoka humkimbia binadamu na humshambulia binadamu ili kujilinda tu na si vinginevyo. Mara dizeli mara sangara mara paka ! Katika makosa yaliyofanywa hapa duniani ni kuwepo kwa kiumbe kinachoitwa Binadamu!
Kuna mtu alisema kuna mabata maji au sijui bata mzinga ni kiboko ya Snakes.
Halafu pia nasikia Kuku na Paka ni kiboko ya snakes.
Weka hii mifugo pengine itasaidia.