Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

NIMEONA

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2019
Posts
3,862
Reaction score
5,693
Nimepigwa mno na single mothers ambao niliamini baada ya 'kupigika' tungeyajenga vizuri sana kwa maana wameshayajua maisha, lakini wapi!

Wa kwanza kanipiga, visa havieleweki tu kila siku. Mwishowe tukaamua yaishe.

Wa pili kanipiga, mtoto akikohoa kidogo tu zinaanza safari za 'kwenda kumtibu'. Nikaona nachotaka kufia hapa ni nini?

Huyu wa tatu ndio jana kaniuliza kabisa, huku mdomo akiwa kaupeleka pembeni (ishara ya dharau), "Hivi wewe kwa akili zako unafikiri kabisa nitamsahau niliyezaa nae? Mfyuuuu!"

Nimeondoka nyumbani mpaka sasa sijarudi.

Wadau, wapi anapatikana asiyekuwa na mtoto katika umri huo nijiandae kula nae kikokotoo?

Nimekwama, tusaidiane.
 
status ya uchumi wako ikoje?
 
Mbona wewe bado ni kijana kwanini una hofu hadi unachukuwa single mothers. Nani alikuambia mwanaume ana kikomo cha umri ktk kuoa. Tena wewe kwa umri huo wa 40's unaweza kuoa mke wa 18 yrs old labda km huna pesa au ajira maalumu.
 
Back
Top Bottom