Sasa hapo sio nyeto...unatatizo tu...nikiwa napiga napi hausimami vizuri
Pole , Swala la kulala huenda likasababishwa na vitu tofaut tofaut ikiwemo hicho,Habari za muda huu wanajukwaa, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 nina upungufu wa nguvu za kiume sababu ya kupiga punyeto.
Nilianza kupiga punyeto toka 2013 mpaka sasa ila nimeacha punyeto ni wiki 1 sasa.
Nashindwa kufanya tendo la ndoa sababu uume unakuwa umelala tu
Naomba msaada wenu wanajukwaa, ushauri na tiba.
ASANTENI
Oa uachane na hiyo ugonjwa ila usitafute mlafi wa hiyo mambo utaishi maisha magumu mno,tafuta mvivu wa hiyo mambo na uache kabisa huo ujinga,utarudi siku kunishukuru🤣Habari za muda huu wanajukwaa, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 nina upungufu wa nguvu za kiume sababu ya kupiga punyeto.
Nilianza kupiga punyeto toka 2013 mpaka sasa ila nimeacha punyeto ni wiki 1 sasa.
Nashindwa kufanya tendo la ndoa sababu uume unakuwa umelala tu
Naomba msaada wenu wanajukwaa, ushauri na tiba.
ASANTENI