Baba Vladmir
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 373
- 627
Ni kweli una tatizo la nguvu za kiume kwa sasa! sina shaka na changamoto yako unayopitia maana matokeo ya jambo hilo ulilolifanya kwa zaidi ya miaka 10 ni hayo.Wanaobisha na kukudhihaki ni kutokuelewa au bado wakati wao wa madhara haujafika hata kama wanaendelea na zoezi hilo.Nao ukifika muda watatafuta msaada.Asilimia kubwa ya vijana wana tatizo kwa sababu hii.Kwa mwezi huwa ninapata kesi nyingi za changamoto hii,lakini chanzo ni hiki.
Tatizo lako ni kwa sababu ya
Kulegea kwa misuli ya uume wako baada ya kufanya punyeto kwa muda mrefu,tena yawezekana ulikuwa ukitumia nguvu nyingi bila material wezeshi.Kwa hiyo mishipa na misuli ya uume imeathirika.Unaweza kustimulate kwa muda lakini ukianza kufanya tendo utahitimu ndaki ya sekunde chache.Yawezekana hata saizi ya uume wako kwa sasa ni imesinyaa ukilinganisha na miaka kadhaa iliyopita.
Hatua mhimu na kwako ni kuacha mara moja mchezo huo, baada ya hapo ni kupata tiba ya kuimarisha misuli na kutibu mishipa ya uume iliyoathirika ili irejee katika hali yake ya awali,baada ya hapo mazoezi yataendelea kukuimarisha zaidi.Kwa sasa hata ukifanya mazoezi hayataweza kukusaidia.Kumbuka ukipata maralia huwezi kupona kwa kulala kwenye chandarua,unatakiwa utibu kwanza baadaye kinga inaendelea.