MSAADA: Mimi ni kijana mwenye 25 nina upungufu wa nguvu za kiume

MSAADA: Mimi ni kijana mwenye 25 nina upungufu wa nguvu za kiume

Habari za muda huu wanajukwaa, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 nina upungufu wa nguvu za kiume sababu ya kupiga punyeto.
Nilianza kupiga punyeto toka 2013 mpaka sasa ila nimeacha punyeto ni wiki 1 sasa.
Nashindwa kufanya tendo la ndoa sababu uume unakuwa umelala tu
Naomba msaada wenu wanajukwaa, ushauri na tiba.
ASANTENI
dronedrake Poor Brain Mbaga Jr
 
Pole , Swala la kulala huenda likasababishwa na vitu tofaut tofaut ikiwemo hicho,
Pili huenda unahofu(frastruation), either ya kumuogopa mwenz wako so au huenda ulifanya ikalala akakuuliza mbna imelala mda mrefu hii ni hataei kisaikolojia itakudistort.
Anza kufanya mazoez kuuweka mwili sawa and tumia ginger kwa wingi kila cku ikiwezekana mix na asali mbichi ,.Tumia karafuu, kula karato kwa wingi, mihogo mibichi, parachichi na watermelon,, Badili mwenza uone kama utakuwa fit after 2monthes,
asante kwa ushauri mkuu.
 
Nyeto haifai wallah mm nimeikoma kbs iliniabisha kwa demu mizuka ilkuwa inakata kbs ila ukianza kuwaza nyeto kitu kinasimama nliacha nyeto mwezi wa 3 sshv naenda poah.

Mungu anisaidie sana na anisamehe nnaimani nko sawa kbs sshv maana nlkuwa namwaga harak san ht km nkipata manzi.
mkuu we ulipiga kwa muda gani?
 
Habari za muda huu wanajukwaa, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 nina upungufu wa nguvu za kiume sababu ya kupiga punyeto.
Nilianza kupiga punyeto toka 2013 mpaka sasa ila nimeacha punyeto ni wiki 1 sasa.
Nashindwa kufanya tendo la ndoa sababu uume unakuwa umelala tu
Naomba msaada wenu wanajukwaa, ushauri na tiba.
ASANTENI
Unatukosea sana waandamizi kwenye punyeto
 
we unahofu tu anxiety inakusumbua kaa utulie kwanza kwa muda isiwe chini ya miezi mitatu fanya vitu vyengine chana na nyeto,au wanawake! kula vizuri lala vizuri.. kuna vitu umeshauliwa kula lkn vitakupa sana hamasa utarudi tena nyetoni kwataarifa yako! hakikisha unakunywa chai ya tangawizi kali sio yakirembo kwenye tangawizi weka asali,pia kama utaweza kula mdalasini mifumo ya homoni ikae sawa ila hivi vitu tumia kwa kiasi maana hehe!... vitakurudisha kulekule maana vinatengeneza upwiru haswa... ukizidiwa utajidofya tena..😃

ngoja niweke yote kwa faida ya wengine pia kama utaweza tafuta habat ya unga changanya kwenye uji kunywa kwenye huohuo uji unaweza kuweka mbegu za maboga itakuwa vyema ukipata unga wake! mwisho kula matikiti tafuna mbegu mpk tumbo liwe linalia tubwiiii....🤣
huko ni physically, psychologically ondoa wazo lakuwa wewe unaupungufu wa nguvu zakiume toa kabisa kichwani, usiogope wadada hata kama ni mzuri hana doa,sijui anatembea kama jini ananywele mpk magotini babu hao ni nyamnyam yetu uzuri wao ndio uimara ya kudinda kwetu tafuna kabisa nothing to worry!! not worry but care about your fucking health!.

ukipata mchumba wakumdinya usifanye papara tafuta eneo tulivu,kaaeni mpige stori,mchezeane yani hakikisha haupo eneo la hofu ktk namna yoyote!. sasa wewe kajichanganye kanunue malaya likuharakishe kufanya litakupa hofu zaidi! kama utakuwa na hofu sana tafuta ka konyagi kadogo kalambe,narudia kadogo sasa wewe kanywe likubwa ukaue dada wa watu hiyo konyagi nikwaajili yakukutoa hofu tu awali baada ya hapo achana na pombe kama haunywi achana nazo.
 
we unahofu tu anxiety inakusumbua kaa utulie kwanza kwa muda isiwe chini ya miezi mitatu fanya vitu vyengine chana na nyeto,au wanawake! kula vizuri lala vizuri.. kuna vitu umeshauliwa kula lkn vitakupa sana hamasa utarudi tena nyetoni kwataarifa yako! hakikisha unakunywa chai ya tangawizi kali sio yakirembo kwenye tangawizi weka asali,pia kama utaweza kula mdalasini mifumo ya homoni ikae sawa ila hivi vitu tumia kwa kiasi maana hehe!... vitakurudisha kulekule maana vinatengeneza upwiru haswa... ukizidiwa utajidofya tena..

ngoja niwekyote kwa faida ya wengine pia kama utaweza tafuta habat ya unga changanya kwenye uji kunywa kwenye huohuo uji unaweza kuweka mbegu za maboga itakuwa vyema ukipata unga wake! mwisho kula matikiti tafuna mbegu mpk tumbo liwe linalia tubwiiii....
huko ni physically, psychologically ondoa wazo lakuwa wewe unaupungufu wa nguvu zakiume toa kabisa kichwani, usiogope wadada hata kama ni mzuri hana doa,sijui anatembea kama jini ananywele mpk magotini babu hao ni nyamnyam yetu uzuri wao ndio uimara ya kudinda kwetu tafuna kabisa nothing to worry!! not worry but care about your fucking health!.

ukipata mchumba wakumdinya usifanye papara tafuta eneo tulivu,kaaeni mpige stori,mchezeane yani hakikisha haupo eneo la hofu ktk namna yoyote!. sasa wewe kajichanganye kanunue malaya likuharakishe kufanya litakupa hofu zaidi! kama utakuwa na hofu sana tafuta ka konyagi kadogo kalambe,narudia kadogo sasa wewe kanywe likubwa ukaue dada wa watu hiyo konyagi nikwaajili yakukutoa hofu tu awali baada ya hapo achana na pombe kama haunywi achana nazo.
Mkuu nashukuru sana.
 
Wenzako Sisi Kaka Zako,,nguvu zipo za kutosha,,Shida Kwacha,,Kwa hiyo kila mmoja apambane na Shida zake,,Sawa Dogoo!!
 
IMG-20240710-WA0013.jpg
 
Habari za muda huu wanajukwaa, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 nina upungufu wa nguvu za kiume sababu ya kupiga punyeto.
Nilianza kupiga punyeto toka 2013 mpaka sasa ila nimeacha punyeto ni wiki 1 sasa.
Nashindwa kufanya tendo la ndoa sababu uume unakuwa umelala tu
Naomba msaada wenu wanajukwaa, ushauri na tiba.
ASANTENI
Utakuwa na shida nyingine mkuu, jaribu kwenda hospital. Nyeto aihusiani na tatizo lako.
 
Back
Top Bottom