MSAADA: Mimi ni kijana mwenye 25 nina upungufu wa nguvu za kiume

Oa uachane na hiyo ugonjwa ila usitafute mlafi wa hiyo mambo utaishi maisha magumu mno,tafuta mvivu wa hiyo mambo na uache kabisa huo ujinga,utarudi siku kunishukuru🤣
Tatizo ubingwa hana kaka, hata akioa labda wakae tu waangalie tamthilia😂😂😂😂
 
Habari za muda huu wanajukwaa, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 nina upungufu wa nguvu za kiume sababu ya kupiga punyeto.
Nilianza kupiga punyeto toka 2013 mpaka sasa ila nimeacha punyeto ni wiki 1 sasa.
Nashindwa kufanya tendo la ndoa sababu uume unakuwa umelala tu
Naomba msaada wenu wanajukwaa, ushauri na tiba.
ASANTENI
Wewe huna tatizo, Bali una kumubukumbu za majuto ya punyeto, tumia mushroom kuondoa Hilo tatizo
 
Umejiharibu mwenyewe bado kijana mbichi, pole Sana nakushauri uvute bangi halafu uache kujisua. 😃😃😃😃😃
 
mkuu we ulipiga kwa muda
Me nlianza kama utani tu mwisho nkawa gwiji nlianza mwaka 2015 nkiwa kidato cha pili had mwaka huu mwezi wa 3 baada ya kuona uume unazid kuwa na mdgo nkaanza kujikaza niache kbs ,hapo mwanzo nlkuwa nkiacha hata week haipiti narudia tena.

Nlisema ngoja nideal tu demu na wangu ila ajabu nkawa nawahi kumalza afu hamu inakosa kbs, nlkuwa naumia sana ,kwa sasa ni angalau kdg najiskia sawa ingawa bdo sjarud kbs kwenye hal yangu ya mwanzo. Jitahd kbs uache nyeto na uwe unafanya mazoezi utakuwa sawa baada ya muda.
 
Mkuu unafanya mazoezi gani?
 
Habari za muda huu wanajukwaa, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 nina upungufu wa nguvu za kiume sababu ya kupiga punyeto.
Nilianza kupiga punyeto toka 2013 mpaka sasa ila nimeacha punyeto ni wiki 1 sasa.
Nashindwa kufanya tendo la ndoa sababu uume unakuwa umelala tu
Naomba msaada wenu wanajukwaa, ushauri na tiba.
ASANTENI
Nina ninapiga punyeto miaka 30 sasa, sijawahi kuwa na upungufu.

Chanzo cha tatizo lako siyo punyeto, tafuta chanzo halisi cha tatizo ili upate solution.solution.
 
Tafuta asali yoyote ile lakini iwe ya nyuki kila siku asubui na jioni kula kijijo kimoja cha chakula, then kila siku jioni kimbia walau klm 2/3.... fanya kwa siku chache tu alafu ondoa hofu jiamini utakuja kuleta mrejesho
 
Habari za muda huu wanajukwaa, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 nina upungufu wa nguvu za kiume sababu ya kupiga punyeto.
Nilianza kupiga punyeto toka 2013 mpaka sasa ila nimeacha punyeto ni wiki 1 sasa.
Nashindwa kufanya tendo la ndoa sababu uume unakuwa umelala tu
Naomba msaada wenu wanajukwaa, ushauri na tiba.
ASA
Hicho kipindi chote hujawahi kua na demu
 
Back
Top Bottom