MSAADA: Mimi ni kijana mwenye 25 nina upungufu wa nguvu za kiume

dronedrake Poor Brain Mbaga Jr
 
asante kwa ushauri mkuu.
 
mkuu we ulipiga kwa muda gani?
 
Unatukosea sana waandamizi kwenye punyeto
 
we unahofu tu anxiety inakusumbua kaa utulie kwanza kwa muda isiwe chini ya miezi mitatu fanya vitu vyengine chana na nyeto,au wanawake! kula vizuri lala vizuri.. kuna vitu umeshauliwa kula lkn vitakupa sana hamasa utarudi tena nyetoni kwataarifa yako! hakikisha unakunywa chai ya tangawizi kali sio yakirembo kwenye tangawizi weka asali,pia kama utaweza kula mdalasini mifumo ya homoni ikae sawa ila hivi vitu tumia kwa kiasi maana hehe!... vitakurudisha kulekule maana vinatengeneza upwiru haswa... ukizidiwa utajidofya tena..😃

ngoja niweke yote kwa faida ya wengine pia kama utaweza tafuta habat ya unga changanya kwenye uji kunywa kwenye huohuo uji unaweza kuweka mbegu za maboga itakuwa vyema ukipata unga wake! mwisho kula matikiti tafuna mbegu mpk tumbo liwe linalia tubwiiii....🤣
huko ni physically, psychologically ondoa wazo lakuwa wewe unaupungufu wa nguvu zakiume toa kabisa kichwani, usiogope wadada hata kama ni mzuri hana doa,sijui anatembea kama jini ananywele mpk magotini babu hao ni nyamnyam yetu uzuri wao ndio uimara ya kudinda kwetu tafuna kabisa nothing to worry!! not worry but care about your fucking health!.

ukipata mchumba wakumdinya usifanye papara tafuta eneo tulivu,kaaeni mpige stori,mchezeane yani hakikisha haupo eneo la hofu ktk namna yoyote!. sasa wewe kajichanganye kanunue malaya likuharakishe kufanya litakupa hofu zaidi! kama utakuwa na hofu sana tafuta ka konyagi kadogo kalambe,narudia kadogo sasa wewe kanywe likubwa ukaue dada wa watu hiyo konyagi nikwaajili yakukutoa hofu tu awali baada ya hapo achana na pombe kama haunywi achana nazo.
 
Mkuu nashukuru sana.
 
Wenzako Sisi Kaka Zako,,nguvu zipo za kutosha,,Shida Kwacha,,Kwa hiyo kila mmoja apambane na Shida zake,,Sawa Dogoo!!
 
Utakuwa na shida nyingine mkuu, jaribu kwenda hospital. Nyeto aihusiani na tatizo lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…