Msaada: Mimi ni mmoja ya G55 sasa baada ya hapa tunafanyaje ndugu zanguni? Maana ni kama hesabu zimeenda hovyo

We saw it coming.

SInce kampeni zilivyoanza za uchaguzi wa ndani,tulisema TAL anaenda kuiua CDM.

Tokeni nendeni ACT mkagombee ,achaneni na CDM maana hakitofanya siasa mpaka 2030.
 
mbowe kaleta dhahama hii yote, mzee mtei kakianzisha chama kwa taabu akikijenga kwa kijinyima, kamwachia bhageshi wake makani, makani kamwachia mkwilima, mkwilima kawaachia chama washenzi, siangemrithisha hata mwanae,
Ungetakiwa uwe umeolewa labda na mtu mtoto mmoja wa Mbowe then uachiwe chama wewe tuseme safari hii mwenyekiti awe mwanamke. Hapo maisha yetu yangeenda vizuri.
 
Sasa unadhani bila ruzuku chama kitaendaje mbele? Ubunge tunataka sana hivi vyama vingine havina watu
Lengo kuu la kuanzisha vyama siyo kupata ruzuku. Vyanzo vya mapato vinatakiwa viwe kutoka kwenye michango ya wanachama. Je, wakishiriki na wakafanya kama ilivyokuwa kwenye serikali za mitaa mwaka jana na wakakosa wabunge ni nini kintatokea? Samia na watu wake walicheza ngoma vibaya sana. Hu uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita wangeacha wapiga kura waamue au hata kuiba wafanye hivyo kwa akili. Hili lingekuwa limeingiza CHADEMA kingi waone kuwa mambo yamebadilika na huu uchaguzi wangeshiriki, tena chini ya mwenyekiti Mbowe.
 
We saw it coming.

SInce kampeni zilivyoanza za uchaguzi wa ndani,tulisema TAL anaenda kuiua CDM.

Tokeni nendeni ACT mkagombee ,achaneni na CDM maana hakitofanya siasa mpaka 2030.
ACT wanakula kwa kujuana. Shida Lissu yeye hili suala la No Reform No Election amelichukulia serious. Mbowe hakuwa na maana hii ya kutaka liwe serious sana.
 
HIi imeenda kenge wewe
 
ACT wanakula kwa kujuana. Shida Lissu yeye hili suala la No Reform No Election amelichukulia serious. Mbowe hakuwa na maana hii ya kutaka liwe serious sana.
Ndiyo hivo kichaa amepewa rungu sasa amefanya kweli amewapiga rungu woteee
Tumekosa wotee hamieni vyama vingine vipo vingi tuu
 
Ndiyo hivo kichaa amepewa rungu sasa amefanya kweli amewapiga rungu woteee
Tumekosa wotee hamieni vyama vingine vipo vingi tuu
Anataka safisha chama wakati sisi tuliridhika na kilivyokuwa kikubwa tunapata ruzuku na pia pesa tukiitisha mikwala kama hii. Hapa tungekuwa na Mbowe tungepiga pesa nzuri tu
 
mbowe kaleta dhahama hii yote, mzee mtei kakianzisha chama kwa taabu akikijenga kwa kijinyima, kamwachia bhageshi wake makani, makani kamwachia mkwilima, mkwilima kawaachia chama washenzi, siangemrithisha hata mwanae,
Mim nadhani suluisho ni kuhama chama kama unaona chama akifanyi yale unayo yataka. Au ikibidi unaanzisha chama chako kuliko kulalamika lalamika. Hama au anzisha chako
 
Mim nadhani suluisho ni kuhama chama kama unaona chama akifanyi yale unayo yataka. Au ikibidi unaanzisha chama chako kuliko kulalamika lalamika. Hama au anzisha chako
Chadema ina wanachama wetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…